Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio unaoga majinyanatoka kwa minyatoBei ni kiasi gani ?
Na facilities vipi i.e. pressure ya maji n.k. ?
Duuudu dubudubudubudubududuDuh aiseee
Wewe nae ni mjinga sana , hujawahi sikia The Biden Administration au Kwa Sasa husikiii maana ya Trump Administration? Au wanaita POTUS? Kwa nini wamtaje yeye as individual?Kwanini umpongeze Samia as an individual? Tanzania tunatatizo kubwa sana la kupenda ku personalize mambo? Nadhani pongezi ungetoa kwa serikali ingeleteta maana zaidi.
🚮🚮 Nyingine hii,yule mtu wenu uliwahi ona au kusikia wapi anashughulika na majengo?Mradi wa Magu huu. Ulianza toka Magu yupo Hai. Mama afanye kitu kipya, msimpe sifa zisizomuhusu.
Umeuliza na kujijibu.🚮🚮🚮🚮 Hii ,,Uliwahi ona wapi yule mtu wenu anashughulika na majengo? Au unadhani ni Magomeni Kota hiyo?
Kwa hiyo Samia Housing Scheme ni Magomeni Kota? Tofauti na Magomeni kota Kuna mradi mwingine?Umeuliza na kujijibu.
Jibu ni magomeni Kota.
Kwenye makazi bado hawajamkomboa mtanzania
Huo mradi umeanza toka enzi za Magufuli.
Hakuna cha kupongezwa hapo.
Punguza ujinga,shuleni hamkusoma Uraia na Civics au General Studies ama Development Studies Hadi uniukize maswali ya kijinga? Maana hayo masomo ni lazima Hadi Chuo Kikuu.
By the way kazi ya Bunge ni kutunga sheria ,kuidhinisha mipango ya Nchi ikiwemo Bajeti zilizoletwa na Serikali pamoja na kusimamia utekelezaji.
So Serikali ndio Iko responsible kuleta majawabu yawe ya Barabara,shule,maji,nk..
Nasisitiza namba za Samia sio za kutafutiza hakuna Rais mwingine yeyote aliyemtangulia anaweza mpita Kwa delivery kwenye sekta zote.
Viwanja tuu vya ndege zaidi ya 8 viko under construction na vile alivyorithi amekamilisha👇👇
View: https://x.com/WizarayaUC/status/1882157671429943357?t=sNKC-4HamVShldP8T1vMhQ&s=19
Au siyo? 😁😁Kimbunga kimeyumbisha dishi, tungoje upepo utlie ili tuelewane.
Neno affordable linatumika vibaya!Kwenye makazi bado hawajamkomboa mtanzania
Huo mradi umewalenga watu fulani tu
Ova
Unaelewa nini wanaposema Biden Adninistration? Does that mean Biden as an individual? Based on that ungesema unapongeza serikali ya mama Samia nasio kumpongeza Samia of which imekaa kichawa zaidiWewe nae ni mjinga sana , hujawahi sikia The Biden Administration au Kwa Sasa husikiii maana ya Trump Administration? Au wanaita POTUS? Kwa nini wamtaje yeye as individual?
Mzee hata uchukie vipi ila namba za Samia zinambeba na huyo ndio anabeba chama kama huko kwenye Vyama vyenu kina Lisu nk wanavyobeba chama.So tunatekeleza dhamira na maono ya Rais sanjali na ilani plus Dira ya Nchi.
Ataweka historia kama yale maghorofa ya Karume huko zenjiHii ni Moja ya kazi ambayo Samia ameweza ila.wengine walishibdwa.
Hata hapa Tanzania wakisema Utawala wa Samia au Samia amefanya A au B doesn't mean yeye as an individual ila Kwa kuwa ndio Kiongozi wa Jeshi lazima sifa azibebe kama anavyobebeshwa lawama.Unaelewa nini wanaposema Biden Adninistration? Does that mean Biden as an individual? Based on that ungesema unapongeza serikali ya mama Samia nasio kumpongeza Samia of which imekaa kichawa zaidi
Vyovyovyote vile,hizo nyumba 80% zimeshachukuliwaNeno affordable linatumika vibaya!
GDP per capital kwa hapa Dar ni 2000Usd kwa mwaka. Bei ni usd 70,000.
Kwa hiyo Kikwete ndio anamiliki NHC na ndio anajenga?Ni Miradi ya Kikwete hiyo kwa ajili ya Mafisadi wachache serikalini na Wafanyabiashara.
Kutumia hela zakoKajenga kwa hela zake binafsi?