Hizi nyumba zina uhusiano na 15 minutes cities?SAMIA HOUSING SCHEME
Mradi wa ujenzi wa nyumba kwaajili ya makazi ya Kaya (Familia) 5,000 unaotekelezwa kwa awamu wa Kawe Jijini Dar es Salaam, umekamilika kwa asilimia 78% na upo kwenye hatua za mwishoni.
View attachment 3210261
Ndio kama ni zangu mnisifie mimi sasaKutumia hela zako
Wewe utasifiwa na mkeoNdio kama ni zangu mnisifie mimi sasa
Mkuu samahani hizi nyumba zilianza kujengwa 2014...kwanini unataka kupotosha watu.Hii ni Moja ya kazi ambayo Samia ameweza ila.wengine walishibdwa.
Una uhakika na unachoongea? Unaweza thibitisha? Kuna nyumba za 2014 hapa?Mkuu samahani hizi nyumba zilianza kujengwa 2014...kwanini unataka kupotosha watu.
Kwa hiyo Kikwete ndio anamiliki NHC na ndio anajenga?
Kikwete ndio anaishi pale Kawe si ndio?
Matakataka kama nyie mna shida sana kichwani na in most cases ni
Yaani kujenga nyumba na lenyewe ni jambo la ajabu, tekinolojia ya nyumba, ni ya mwaka 1700! Kwani pesa zake? Sasa hv vigorofa unafikri vitatua shida ya makazi nchini? Hizo za biashara, na kama ni kapuku, hapo uingii!SAMIA HOUSING SCHEME
Mradi wa ujenzi wa nyumba kwaajili ya makazi ya Kaya (Familia) 5,000 unaotekelezwa kwa awamu wa Kawe Jijini Dar es Salaam, umekamilika kwa asilimia 78% na upo kwenye hatua za mwishoni.
View attachment 3210261
Yes... ila sio affordable, hata kama zimechukuliwa zote.Vyovyovyote vile,hizo nyumba 80% zimeshachukuliwa
Ni affordable,kwako wewe Ili iwe affordable inatakiwa kuwa bei gani?Yes... ila sio affordable, hata kama zimechukuliwa zote.
Kipimo cha affordability sio mimi au wewe...Ni affordable,kwako wewe Ili iwe affordable inatakiwa kuwa bei gani?
Magufuli alijenga Magomeni kwa Samia amna jipya.Hii ni Moja ya kazi ambayo Samia ameweza ila.wengine walishibdwa.
Wacha kuropoka wewe mbuzi.Magufuli alijenga Magomeni kwa Samia amna jipya.