Rais Samia nakushauri ufute safari za nje

Rais Samia nakushauri ufute safari za nje

ASILI YA WASWAHILI NI UTEMBEZI NA POROJO.
SI UNAKUMBUKA AWAMU ILE YA NNE?
 
Acha roho mbaya wenzako wanapiga shopping ya krismasi na mwaka mpya halafu unataka warudishwe ?
 
Jiwe alisimamisha mkasema vyuma vimekaza, Maza anafungua nchi bado mnalalamika, make up your mind watanganyika.
 
Nampongeza Chakwela kwa kufuta safari zote za nje hadi March 2024, wote walioko nje mqtembezi kurudi nyumbani, kupunguza matumizi ya Serikali pamoja na ma- allowance za wabunge na mawaziri ili kubalance uchumi wa Nchi yake, Mama Samia nakushauri na wewe uchukue uamuzi huo, safari za nje zina gharama kubwa na umaskini wetu hauwezi kwisha kwa kutembeza bakuli.
Ili iweje. Yaani unamuona Samia ni hamnazo kama chakwela? Viongozi au rais kwenda nje insongeza ushawishi hence purchasing power ya nchi thru aggregate demand. Chakwela ni kama kilaza jpm tu
 
Unataka na yeye ajizuie asisafiri?

Nenda kaangalie ratiba yake ya kusafiri Mwezi Ujao hadi February uone ana safari ngapi?

We hutaki wateule wake wapate PerDiems za Dolari? 🤪
 
Safari ni muhimu lakini sharti ziratibiwe, sasa ukiwa vasco da Gama zama hizi jau matumizi huwa ni makubwa sana
Safari nyingi za rais hazina tija, angetuma hata waziri tu.
VI mikutano uchwara.

Rais kusafiri hovyo ni gharama kubwa sana.
Anachoma dola nyingi nje wakati nchi yetu hatuna bidhaa za ku export nje ili tupate dola.

Anatutia umaskini mkubwa sans
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ACHA NICHEKE MA VASCO DA GAMA WA BONGO WAACHE MISEREE[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tuebdeleee kuota labda kuna siku wataacha.
 
Nampongeza Chakwela kwa kufuta safari zote za nje hadi March 2024, wote walioko nje mqtembezi kurudi nyumbani, kupunguza matumizi ya Serikali pamoja na ma- allowance za wabunge na mawaziri ili kubalance uchumi wa Nchi yake, Mama Samia nakushauri na wewe uchukue uamuzi huo, safari za nje zina gharama kubwa na umaskini wetu hauwezi kwisha kwa kutembeza bakuli.
Ili watoto wake wakale polisi?
 
Ni tofauti ndio!..

Maana angalau alijaribu kujitikisa
Angalau lakini hakuna alichofanikisha mfano mshahara wake ulikua haukatwi kodi na hakuwahi badilisha sheria hiyo.

Kingine sheria ya maadili ya viongozi wa umma inataka kiongozi atangaze mali zake anapoingia na anapotoka ila sikuona JPM akifanya hilo au akihimiza viongozi wafanye taratibu hiyo tena hadharani!!

Kingine gharama mfano za misafara ya rais ni ile ile mfano uzinduzi wa ndege tu mpaka Rais anaenda mpka barabara ya km 2 tu Rais anaenda kote huko kuongeza gharama why asingekua anaachia mawaziri tu ku save costs?

Haya likaja zoez la uchaguzi, tulitumia zaidi ya billion 400 kufanya chaguzi zetu cha ajabu zote zikagubikwa na wizi wa kura. Sasa why tutumie billion 400 ilihali ccm walipita almost bila kupingwa? Huo nao ni matumizi mabaya ya fedha.

JPM alikua na mazuri yake ila muyaeleze vizuri mkiyajaza uongo mnaharibu hata yale mazuri yake.
 
Hivyo ulivyo vielezea ni tone tu ukilimganisha na ufisadi wa Marais wenzake!
 
Nampongeza Chakwela kwa kufuta safari zote za nje hadi March 2024, wote walioko nje matembezi kurudi nyumbani, kupunguza matumizi ya Serikali pamoja na ma-allowance za wabunge na mawaziri ili kubalance uchumi wa Nchi yake. Mama Samia nakushauri na wewe uchukue uamuzi huo, safari za nje zina gharama kubwa na umaskini wetu hauwezi kwisha kwa kutembeza bakuli.
Yaani aache kwenda ujombani!!!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Safari zina maslahi kwa familia yake, hawezi kabisa kufuata ushauri wako
Leta orodha ya wawekezaji wakubwa watatu ambao wanawekeza hapa Tanzania baada ya huyu mama kuanza kutembelea mataifa ya huko. Hivi mnafikiri hili taifa litajengwa na hao wazungu na waarabu? Hivi mataifa yao yalijengwa na watu wa nje?
 
Mama, huwezi kufanya mazuri tu lakini yapo ambayo ni obvious hata kipofuu anaona kwamba siyo. Tanzania ni yetu wote, na wewe ni mama sawa tunakopa kujenga miundombinu ya maji na barabara, management ya mapesa hayo ni muhimu wengine kati ya watu wako wanayadivate kujiandaaa na uchaguzi na wengine watakupa shida wewe mwenyewe amka Mama wanakukosanisha na wananchi kwa maslahi binafsi, tukope kwa nidhamu tusikope kuspend madeni haya tutalipa deni la Taifa liko juu sana Kulingana na ulali wa mapato yetu, mwisho wa siku tutauza uhuru wetui,
 
Back
Top Bottom