Rais Samia nakushauri unda upya serikali yako!

Naona mawazo yako msingi wake ni waziri Mkuu.

Binafsi simkubali Majaliwa kutokana na siasa zake za Kinafiki, zimamoto na hadaa.

Ila nashauri aendelee kuwepo ili akamilishe ratiba tu mpaka 2025 maana mzigo was kulea wastaafu utaongezeka bila sababu za msingi.

Pili, Kwa jinsi Samia alivyo hata akiunda serikali tena majina yatakuwa Yale yale: Nape Nnauye, Mwigulu Nchemba, January makamba, Ridhiwani Kikwete, Mchengerwa, Aweso na lundo LA wanawake anaodhani kuwapa vyeo ndio haki sawa.

Na hawa watu wameshachoka sana, hawana jipya lolte.

In short, usitegemee jipya lolote.
 
Ngoja nikuulize, mfano ni nani ambae sio mbunge na unahisi uchaguzi ungefanyika angefaa kwenye Baraza la mawaziri? Naomba unitajie hata baadhi tu ambao unahisi kabisa wapo ccm lakini hawajapata nafasi kuwa wabunge lakini wangefaa baraza la mawaziri
 
Una shida na waziri mkuu, umezunguka bure tu. Lakini kunuulize nani unahisi anaweza kuwa waziri mkuu mzuri tofauti na kassim?
 
Thread ya kimkakati hii!!!
 
Kama ni maoni, unaonaje BARAZA la mawaziri na Bunge likivunjwa Ili turudi Kwa uchaguzi?

Maana ni UKWELI usio na shaka kuwa hapakuwa na uchaguzi 2020!!!!

Tufanye yanayowezekana kwa sasa.
Licha ya magumashi yaliyotokea mwaka 2020 lakini serikali ingalipo na ndiyo tunayodeal nayo kwa sasa. Tufanye lile linalowezekana kuliko wishful thinking
 
Awamu ya sita Ili ikamilike inahitaji kuwa na Waziri Mkuu mpya mwenye maono na kasi yako.
 
Samia! Samia! Samia!

Nakuita mara tatu

Unda upya serikali yako, hii uliyonayo ni ya Magufuli, Waziri huyu mkuu ni wa Magufuli, aliapa kwa Magufuli.

Kwa mujibu wa katiba ulitakiwa umuapishe upya baada ya wewe kuapa kushika nafasi ya uraisi, lakini ukaweka ubishi.

Kama hutaki kuuanika basi utautwanga mbichi?
 
Excellently thought out. Mkuu nimependa sana mada yako tatizo sijui kama tuna rais anayeelewa haya[emoji24][emoji24]
 
Nilitaka kukujibu ila Sasa ngoja nighairi
 
Naunga mkono hoja.
P
 
hebu nitajie mawazir makatibu waki, manaibu ambao si wakwake amewarithi alafu ndio uje na hii hoja
 
Sasa mkuu mama hawezi kukataa vimemo
 
Rais Samia unda upya Serikali yako.
 

Ni kweli hii iliyopo ina viraka vingi na kuunda mpya kutamsaidia sana kuwajua wanafiki na wale wasiomtakia mema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…