[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwambie dada kuwa wafanya biashara sio watu wa kuwachekea na kuwanyenyekea. Mfanya biashara yeyote yule hataki kulipa kodi. Na ndiyo maana wakina Bezos na matajiri wengine wanaziacha products zao ziwe manufactured Asia na kwingine kwenye unafuu wa kodi na Mishahara kuliko Amerika na Europe.