Rais Samia naomba usimsahau Elia Wilinasi hata kwenye ukuu wa wilaya

Rais Samia naomba usimsahau Elia Wilinasi hata kwenye ukuu wa wilaya

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Kwako mama yetu Samia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Natumai umzima wa afya njema na unaendelea na shughuli zako za kiofisi.

Mama, ndugu yetu Elia Wilinasi ni kijana safi mwenye weledi na mzalendo anayetamani kukitumikia chama cha mapinduzi katika ngazi za juu na taifa kwa ujumla.

Alichukua fomu ya kugombea ujumbe wa hamshauri kuu ya CCM taifa kama karata yake ya kwanza kulitumikia taifa lake.

Safari hii anasubiria mkeka wa ukuu wa wilaya kwa hamu, bado anatamani kulitumikia taifa katika ngazi ya ukuu wa wilaya.

Ahsante sana.
Kazi iendelee
 
Kwako mama yetu Samia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...
Hata Lucas mwashambwa jamaa anajitahidi sana kuonekana.

Taarifa zake tunafikisha pia. Anajaribu sana kwa IDs zake zote. Naye wamwone.

Akionekana atapata na muda wa kumpumzika. Wenzie baada ya kuukwaa wakawa busy humu hawaonekani tena.
 
Kwako mama yetu Samia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Natumai umzima wa afya njema na unaendelea na shughuli zako za kiofisi.

Mama, ndugu yetu Elia Wilinasi ni kijana safi mwenye weledi na mzalendo anayetamani kukitumikia chama cha mapinduzi katika ngazi za juu na taifa kwa ujumla.

Alichukua fomu ya kugombea ujumbe wa hamshauri kuu ya CCM taifa kama karata yake ya kwanza kulitumikia taifa le.

Safari hii anasubiria mkeka wa ukuu wa wilaya kwa hamu, bado anatamani kulitumikia taifa katika ngazi ya ukuu wa wilaya.

Ahsante sana.
Kazi iendelee
Awamu hii chawa/ kupe zimezidi sana kwa Sababu ya ugumu wa maisha.
 
Awamu hii chawa/ kupe zimezidi sana kwa Sababu ya ugumu wa maisha.
Boss nadhani ni uzalendo tu wa mtu husika.

Watu wengine hawapendi mambo ya siasa hata kama wana maisha magumu.

Mimi naonaga ukikuta mtu anapenda mambo ya siasa ujue ana moyo tu kuwatumikia wananchi.
 
Back
Top Bottom