Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Nashukuru umenielewa. Au ningesema Kalambe Asali. Sijui kama nawe unalamba. Sisi tunajenga nchi huku tunalamba asali.😀😀😀Daaah haya maneno yanauma, Ila ndio basi tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru umenielewa. Au ningesema Kalambe Asali. Sijui kama nawe unalamba. Sisi tunajenga nchi huku tunalamba asali.😀😀😀Daaah haya maneno yanauma, Ila ndio basi tena.
Nimekuelewa sana bossNashukuru umenielewa. Au ningesema Kalambe Asali. Sijui kama nawe unalamba. Sisi tunajenga nchi huku tunalamba asali.
Waarabu wa Pemba..... Namfahamu dogo so mwacheni naye ajenge CV. Watu tunatoka mbali sana.Kumbe ninyi mwafahamiana kabisa. Hapa tunasema hizi IDs zinasomana
Daaah... Lucas. Yamekuwa hayo tena? Tunajenga nyumba moja tusigombee fito. Vipi umerudi tayari? Leo sikwenda HQ
Hili ndilo la msingi sana, vijana wasifungie CV kabatani.Waarabu wa Pemba..... Namfahamu dogo so mwacheni naye ajenge CV. Watu tunatoka mbali sana.
Hope mama kaiona hii
Ni kweli bossHope mama kaiona hii
Kwanini unasema hivi boss, pengine kuna jambo la tofauti umeligundua.Kwanini asitafutiwe sehemu za TPDC na TANESCO?
Hata mwalimu analitumikia taifa, huyo anayesubiri teuzi ndio alitumikie taifa ana lake jambo.Boss unamaswali yenye mantiki sana. Ila kiukweli huyu mtu anapenda kulitumikia taifa lake sana.
Chawa mkubwa hataki chawa wadogo wafaidi🤣Acha kelele wewe mwache mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani kipenzi Cha watanzania , Mzalendo wa kwelii ,mwenye upendo wa dhati na nchi hii atutumikie watanzania, pia Tambua kuwa uongozi unatoka kwa Mungu pekee na siyo kujipigia promo
Kwanini unasema ana lake jambo dada yangu. Tolea kidogo ufafanuzi pengine naweza kumshauri zaidi.Hata mwalimu analitumikia taifa, huyo anayesubiri teuzi ndio alitumikie taifa ana lake jambo.
Dogo tayari ushaanza dharau...Acha ujinga
Yeaah..... Anajaribu naye kuonekanaHili ndilo la msingi sana, vijana wasifungie CV kabatani.
Kwa nini asijiajiri?Boss sio mm, nampigia promo huyu bwana. Tumpe support apate kutumiza ndoto yake.
Duh...!. Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!Muulize Pascal Mayalla mwaka wa ishirin huu haonekani mbele ya wanaofanya vetting pamoja na uwezo aliouonesha maeneo MBALIMBALI
Ndoto yake ni kuwa kiongozi,DC?!.Boss sio mm, nampigia promo huyu bwana. Tumpe support apate kutumiza ndoto yake.
Ndoto yake ni kuwa kiongozi wa ngazi yeyote tu.Ndoto yake ni kuwa kiongozi,DC?!.