Rais Samia naomba usimsahau Elia Wilinasi hata kwenye ukuu wa wilaya

why mama amchague
Kwako mama yetu Samia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Natumai umzima wa afya njema na unaendelea na shughuli zako za kiofisi.

Mama, ndugu yetu Elia Wilinasi ni kijana safi mwenye weledi na mzalendo anayetamani kukitumikia chama cha mapinduzi katika ngazi za juu na taifa kwa ujumla.

Alichukua fomu ya kugombea ujumbe wa hamshauri kuu ya CCM taifa kama karata yake ya kwanza kulitumikia taifa le.

Safari hii anasubiria mkeka wa ukuu wa wilaya kwa hamu, bado anatamani kulitumikia taifa katika ngazi ya ukuu wa wilaya.

Ahsante sana.
Kazi iendelee
why mama amchague elia kwa kigezo cha uzalend na kuktmia chama .... je elia ana sifa nyngne ipi ya ziada tukiachana na hizo ?
 
Kwako mama yetu Samia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Natumai umzima wa afya njema na unaendelea na shughuli zako za kiofisi.

Mama, ndugu yetu Elia Wilinasi ni kijana safi mwenye weledi na mzalendo anayetamani kukitumikia chama cha mapinduzi katika ngazi za juu na taifa kwa ujumla.

Alichukua fomu ya kugombea ujumbe wa hamshauri kuu ya CCM taifa kama karata yake ya kwanza kulitumikia taifa le.

Safari hii anasubiria mkeka wa ukuu wa wilaya kwa hamu, bado anatamani kulitumikia taifa katika ngazi ya ukuu wa wilaya.

Ahsante sana.
Kazi iendelee
Hizi nafadi za kupeaba zimebakia Tanzania pekee yake, ujinga mtupu
 
Anapenda kuwatumikia wananchi ili awaletee maendeleo.
Tueleze kwanza ana maendeleo gani aliyojiletea yeye mwenyewe ili tuone kwamba kweli anaweza kutusaidia,

maana Haya maneno ni sawa na yale ya waganga matapeli wa kienyeji, anakwambia atakupa utajiri wakati yeye mwenyewe ni "hohehahe"

Wakati mwingine pamoja na elimu zao viongozi wakubwa walio na jukumu la ushawishi wa kuleta chachu ya maendeleo ktk jamii wawe wanapimwa kwa kigezo cha ufanisi wa maendeleo yao binafsi yaliopatikana kwa jitihada zao wenyewe.
 
Boss unacho kizungumza kipo sahihi. Ila maranyingi uongozi ni kalama. Uwezo wa kuongoza haupimwi kwa utajiri wa mtu au uwezo wake wa kiuchumi. Mbona Trump alikua tajiri lakini aliongoza vibaya katika uongozi wake. Angalia mtu kama Obama ametokea wapi?
 
Hahaha, nadhani hizo nafasi zianze kugombewa. Watu wako wengi wenye weledi shida hawajulikani.
 
Back
Top Bottom