Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
- #61
😀😀😀😀Dogo tayari ushaanza dharau...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀Dogo tayari ushaanza dharau...
Sasa inaombwaje boss, tuelekeze kidogo tupate ufahamu.Haiombwi hivyo
Sasa inaombwaje boss, tuelekeze kidogo tupate ufahamu.Haiombwi hivyo
Karibu boss,Pumbaf
Yes ukijifungia sana ni nani atakuona. Dunia siku hizi imebadilika sana.Yeaah..... Anajaribu naye kuonekana
Anapenda ama anatfta tu hela na wadhifa?Boss unamaswali yenye mantiki sana. Ila kiukweli huyu mtu anapenda kulitumikia taifa lake sana.
Kulima analima sana. Ana mashamba mengi tu boss.ndugu fanya ukalime matikiti, nafasi za uteuzi zimejaa.
Ndo hivyo anajitahidi huwa namwambia asikate tamaa wenzake pia tulisifu na kuabudu sana na imelipa angalau nasi maisha yamekaa sawaYes ukijifungia sana ni nani atakuona. Dunia siku hizi imebadilika sana.
Anapenda kuwatumikia wananchi ili awaletee maendeleo.Anapenda ama anatfta tu hela na wadhifa?
Endeleeni kusali
why mama amchague elia kwa kigezo cha uzalend na kuktmia chama .... je elia ana sifa nyngne ipi ya ziada tukiachana na hizo ?Kwako mama yetu Samia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Natumai umzima wa afya njema na unaendelea na shughuli zako za kiofisi.
Mama, ndugu yetu Elia Wilinasi ni kijana safi mwenye weledi na mzalendo anayetamani kukitumikia chama cha mapinduzi katika ngazi za juu na taifa kwa ujumla.
Alichukua fomu ya kugombea ujumbe wa hamshauri kuu ya CCM taifa kama karata yake ya kwanza kulitumikia taifa le.
Safari hii anasubiria mkeka wa ukuu wa wilaya kwa hamu, bado anatamani kulitumikia taifa katika ngazi ya ukuu wa wilaya.
Ahsante sana.
Kazi iendelee
Udc unaonekana ni kazi isiyohitaji taaluma yoyote zaidi ya kusifia na kupambana na wapinzani.Kwanini asitafutiwe sehemu za TPDC na TANESCO?
Hizi nafadi za kupeaba zimebakia Tanzania pekee yake, ujinga mtupuKwako mama yetu Samia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Natumai umzima wa afya njema na unaendelea na shughuli zako za kiofisi.
Mama, ndugu yetu Elia Wilinasi ni kijana safi mwenye weledi na mzalendo anayetamani kukitumikia chama cha mapinduzi katika ngazi za juu na taifa kwa ujumla.
Alichukua fomu ya kugombea ujumbe wa hamshauri kuu ya CCM taifa kama karata yake ya kwanza kulitumikia taifa le.
Safari hii anasubiria mkeka wa ukuu wa wilaya kwa hamu, bado anatamani kulitumikia taifa katika ngazi ya ukuu wa wilaya.
Ahsante sana.
Kazi iendelee
Tueleze kwanza ana maendeleo gani aliyojiletea yeye mwenyewe ili tuone kwamba kweli anaweza kutusaidia,Anapenda kuwatumikia wananchi ili awaletee maendeleo.
Boss unacho kizungumza kipo sahihi. Ila maranyingi uongozi ni kalama. Uwezo wa kuongoza haupimwi kwa utajiri wa mtu au uwezo wake wa kiuchumi. Mbona Trump alikua tajiri lakini aliongoza vibaya katika uongozi wake. Angalia mtu kama Obama ametokea wapi?Tueleze kwanza ana maendeleo gani aliyojiletea yeye mwenyewe ili tuone kwamba kweli anaweza kutusaidia,
maana Haya maneno ni sawa na yale ya waganga matapeli wa kienyeji, anakwambia atakupa utajiri wakati yeye mwenyewe ni "hohehahe"
Wakati mwingine pamoja na elimu zao viongozi wakubwa walio na jukumu la ushawishi wa kuleta chachu ya maendeleo ktk jamii wawe wanapimwa kwa kigezo cha ufanisi wa maendeleo yao binafsi yaliopatikana kwa jitihada zao wenyewe.
Boss umekubali apewe UDC?Ana ndiyo gani?
Ya kulitumikia Taifa lake kwenye nafasi ya uongozi bossAna ndoto gani?