Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Hata mimi nausubiri huu mkeka!Kwako mama yetu Samia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...
Mbona ana elimu nzuri tu.Ni mme wako?
Yaani Mama amchague Mtu mwenye Elimu ya mchongo ya
Sawa bossMkeka unatoka muda wowote,hasa nyakati za usiku.
Mimi sio yeyeHabari yako bwana Elia
Amwajiri kwenye makampuni yake🚶Mimi sio yeye
Boss BossAmwajiri kwenye makampuni yake🚶
NJAA KALI kwa Vijana wa LumumbaKwako mama yetu Samia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hata Lucas mwashambwa jamaa anajitahidi sana kuonekana.Kwako mama yetu Samia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...
Boss sio mm, nampigia promo huyu bwana. Tumpe support apate kutumiza ndoto yake.Unajipigia promo sana na hautakuja kupata.
Ndio yupi huyu bossHata Lucas mwashambwa jamaa anajitahidi sana kuonekana.... Taarifa zake tunafikisha pia. Anajaribu sana kwa IDs zake zote. Naye wamwone. Akionekana atapata na muda wa kumpumzika. Wenzie baada ya kuukwaa wakawa busy humu hawaonekani tena.
😀😀Boss una maneno makali sanaNJAA KALI kwa Vijana wa Lumumba
Awamu hii chawa/ kupe zimezidi sana kwa Sababu ya ugumu wa maisha.Kwako mama yetu Samia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Natumai umzima wa afya njema na unaendelea na shughuli zako za kiofisi.
Mama, ndugu yetu Elia Wilinasi ni kijana safi mwenye weledi na mzalendo anayetamani kukitumikia chama cha mapinduzi katika ngazi za juu na taifa kwa ujumla.
Alichukua fomu ya kugombea ujumbe wa hamshauri kuu ya CCM taifa kama karata yake ya kwanza kulitumikia taifa le.
Safari hii anasubiria mkeka wa ukuu wa wilaya kwa hamu, bado anatamani kulitumikia taifa katika ngazi ya ukuu wa wilaya.
Ahsante sana.
Kazi iendelee
Boss nadhani ni uzalendo tu wa mtu husika.Awamu hii chawa/ kupe zimezidi sana kwa Sababu ya ugumu wa maisha.
Weka wasifu wake hapa kama unataka apate kunadika vizuri.