Rais Samia nashauri mteue Makonda Uwaziri Mambo ya Ndani. Ni jasiri na ndiye mrithi wa Sokoine aliyejitoa sadaka kuwatumikia Watanzania

Wadau hamjamboni nyote?

Mheshimiwa Rais nashauri Mteue Paul Makonda awe Wazara ya mambo ya ndani ya nchi

Ni aina ya Kiongozi mjasiri sana, asiye na hofu kutamka ukweli hadharani bila unafiki, anayechukia uonevu, rushwa, ufisadi, kutokuwajibika, uzembe na matumizi mabaya ya madaraka.

Ni aina ya Kiongozi asiye na hofu na aliyejitoa wa ajili ya kutetea maslahi ya Watanzania na wakati wote yupo tayari kufanya chochote kuhakikisha haki ya mtu inapatikana tena kwa wakati.

Ni aina ya ya Kiongozi aliyevaa ujasiri halisi na mrithi wa hayati Waziri Mkuu wa Tanzania Edward Moringe Sokoine

Ni aina ya Kiongozi ambaye akikabidhiwa dhamana ya kuongoza Wizara nyeti ya mambo ya ndani basi matokeo chanya kiutendaji yataonekana ndani ya muda mfupi ndani ya Serikali, Chama cha Mapinduzi na kwenye maisha ya Watanzania kwa ujumla

Ni aina ya Kiongozi ambaye akikabidhiwa dhamana husika Watanzania watalala majumbani mwao bila kuhofia majambazi, wanawake kwenye ndoa hawatahofia kunyanyaswa, watoto wa kike hawatahofia kunyanyaswa na makondakta wa daladala,
Traffic wataogopa kuchukua rushwa barabarani, vituo vya polisi havitajaza mahabusu bila sababu za msingi, askari magereza hawatayanyasa wafungwa/ mahabusu, hati za kusafiria zitatolewa kwa wakati bila usumbufu, matapeli wa viwanja watapotea, hakutakuwa na foleni barabarani, mateja watakuwa historia inayosomwa shuleni n.k

Ni aina ya Kiongozi ambaye akiwa ofisini DCI& DPP wataharakisha kupeleka kesi mahakamani/watafuta kesi za mchongo.

Ni aina ya Kiongozi anayejiamini, hodari kufanya maamuzi na kutatua matatizo, msikilizaji kero za watu, mwenye uwezo wa kujihamasisha na mtetezi wa haki na yupo tayari kujifunza.

Matokeo chanya kiutendaji ya Mheshimiwa Makonda yataifanya CCM ikose ulazima wa kuzunguka nchi nzima kufanya kampeni za uchaguzi Mkuu 2025

Yapo mengi yanayomuhusu Makonda lakini niishie hapo

Hata hapa napoandika najua wazembe nimewatia hofu japokuwa nimetoa tu ushauri kwa mamlaka husika.
Akifika ngazi ya uwaziri atataka uraisi hapo ndipo patakapo anza timbwiri zito!
 
Una hoja usikilizwe,
Mrema pia alipokua waziri wa mambo ya ndani alifanya kama Makonda,alikua akisikiliza kera za watu,yakazuka maneno eti anaingilia wizara zingine,mzee wa ruksa akamteua pia kua naibu wa waziri mkuu.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Mheshimiwa Rais nashauri Mteue Paul Makonda awe Wazara ya mambo ya ndani ya nchi

Ni aina ya Kiongozi mjasiri sana, asiye na hofu kutamka ukweli hadharani bila unafiki, anayechukia uonevu, rushwa, ufisadi, kutokuwajibika, uzembe na matumizi mabaya ya madaraka.

Ni aina ya Kiongozi asiye na hofu na aliyejitoa wa ajili ya kutetea maslahi ya Watanzania na wakati wote yupo tayari kufanya chochote kuhakikisha haki ya mtu inapatikana tena kwa wakati.

Ni aina ya ya Kiongozi aliyevaa ujasiri halisi na mrithi wa hayati Waziri Mkuu wa Tanzania Edward Moringe Sokoine

Ni aina ya Kiongozi ambaye akikabidhiwa dhamana ya kuongoza Wizara nyeti ya mambo ya ndani basi matokeo chanya kiutendaji yataonekana ndani ya muda mfupi ndani ya Serikali, Chama cha Mapinduzi na kwenye maisha ya Watanzania kwa ujumla

Ni aina ya Kiongozi ambaye akikabidhiwa dhamana husika Watanzania watalala majumbani mwao bila kuhofia majambazi, wanawake kwenye ndoa hawatahofia kunyanyaswa, watoto wa kike hawatahofia kunyanyaswa na makondakta wa daladala,
Traffic wataogopa kuchukua rushwa barabarani, vituo vya polisi havitajaza mahabusu bila sababu za msingi, askari magereza hawatayanyasa wafungwa/ mahabusu, hati za kusafiria zitatolewa kwa wakati bila usumbufu, matapeli wa viwanja watapotea, hakutakuwa na foleni barabarani, mateja watakuwa historia inayosomwa shuleni n.k

Ni aina ya Kiongozi ambaye akiwa ofisini DCI& DPP wataharakisha kupeleka kesi mahakamani/watafuta kesi za mchongo.

Ni aina ya Kiongozi anayejiamini, hodari kufanya maamuzi na kutatua matatizo, msikilizaji kero za watu, mwenye uwezo wa kujihamasisha na mtetezi wa haki na yupo tayari kujifunza.

Matokeo chanya kiutendaji ya Mheshimiwa Makonda yataifanya CCM ikose ulazima wa kuzunguka nchi nzima kufanya kampeni za uchaguzi Mkuu 2025

Yapo mengi yanayomuhusu Makonda lakini niishie hapo

Hata hapa napoandika najua wazembe nimewatia hofu japokuwa nimetoa tu ushauri kwa mamlaka husika.
Mnakula makande halafu mnavuta bangi na kuja kuandika PUMBA humu.

Huyo Makonda kama unataka awe waziri wa mambo ya ndani ya nyumbani kwako mchukue tu !! Acha kutuletea wahalifu hapa.
 
Usimlinganishe na Sokoine. Sokoine was killed kisa kuna mafisadi alitaka kuwashughulikia.
 
Hapo Mwiaho umekosea kusema kuwa uteuzi huo uwe ni mmkakati wa kushinda uchaguzi 2025.

Tunafeli sana kwa sababu tunawaza uchaguzi TU badala ya kuwaza nchi yetu hasa Tanganyika ambayo ni wazi kabisa inahunumiwa na hao unaowaomba wamteue Makonda.

Ni Bora ungesema Makonda simama na wanaosai Katiba mpya halafu 2025 uchukue Fomu ya Urais kama Mgombea Binafsi.
Hakika Makonda atashinda kwa Kishindo Kikubwa sana.
Na wezi siku ya kuaoishwa watakiua wamepanga foleni kwenye viwanja vya ndage na mipakani na bandarini kuikimbia nchi kwa hofu ya kutiwa gerezani.

Kwa sasa tuna jambo Moja TU lililopo ni kudai katiba mpya.
Bila katiba mpya Makonda akipewa huo uwaziri watampoteza kisiasa kama Kangi Lugola . Hakuna Wizara yenye watu wajanja kama Wizara ya mambo ya ndani .
Wanauwezo wa kutengeneza filam ya Nightmare na kumvuruga waziri ili aonekane hafai.

Muulize kangi Lugola na Mrema huko aliko(RIP)
Sawa
 
Wadau hamjamboni nyote?

Mheshimiwa Rais nashauri Mteue Paul Makonda awe Wazara ya mambo ya ndani ya nchi

Ni aina ya Kiongozi mjasiri sana, asiye na hofu kutamka ukweli hadharani bila unafiki, anayechukia uonevu, rushwa, ufisadi, kutokuwajibika, uzembe na matumizi mabaya ya madaraka.

Ni aina ya Kiongozi asiye na hofu na aliyejitoa wa ajili ya kutetea maslahi ya Watanzania na wakati wote yupo tayari kufanya chochote kuhakikisha haki ya mtu inapatikana tena kwa wakati.

Ni aina ya ya Kiongozi aliyevaa ujasiri halisi na mrithi wa hayati Waziri Mkuu wa Tanzania Edward Moringe Sokoine

Ni aina ya Kiongozi ambaye akikabidhiwa dhamana ya kuongoza Wizara nyeti ya mambo ya ndani basi matokeo chanya kiutendaji yataonekana ndani ya muda mfupi ndani ya Serikali, Chama cha Mapinduzi na kwenye maisha ya Watanzania kwa ujumla

Ni aina ya Kiongozi ambaye akikabidhiwa dhamana husika Watanzania watalala majumbani mwao bila kuhofia majambazi, wanawake kwenye ndoa hawatahofia kunyanyaswa, watoto wa kike hawatahofia kunyanyaswa na makondakta wa daladala,
Traffic wataogopa kuchukua rushwa barabarani, vituo vya polisi havitajaza mahabusu bila sababu za msingi, askari magereza hawatayanyasa wafungwa/ mahabusu, hati za kusafiria zitatolewa kwa wakati bila usumbufu, matapeli wa viwanja watapotea, hakutakuwa na foleni barabarani, mateja watakuwa historia inayosomwa shuleni n.k

Ni aina ya Kiongozi ambaye akiwa ofisini DCI& DPP wataharakisha kupeleka kesi mahakamani/watafuta kesi za mchongo.

Ni aina ya Kiongozi anayejiamini, hodari kufanya maamuzi na kutatua matatizo, msikilizaji kero za watu, mwenye uwezo wa kujihamasisha na mtetezi wa haki na yupo tayari kujifunza.

Matokeo chanya kiutendaji ya Mheshimiwa Makonda yataifanya CCM ikose ulazima wa kuzunguka nchi nzima kufanya kampeni za uchaguzi Mkuu 2025

Yapo mengi yanayomuhusu Makonda lakini niishie hapo

Hata hapa napoandika najua wazembe nimewatia hofu japokuwa nimetoa tu ushauri kwa mamlaka husika.
Samia umesubili nini kumtumbua huyu makondacta. Anakuaibisha. Au unataka tumtandike risasi huku kwetu chuga
 
Tofautisha kiki na uongozi. Tatizo mnadhani kujaza watu kwenye mkutano ni uongozi . Pia ni aibu kumlinganisha Sokoinne na Bashite. Sokoinne hakuwa na vyeti feki.
 
Uenezi umemshinda ndio awe Waziri ?. Umeondolewa kwenye uenezi baada ya mbwembwe za Misafara kubuma ndio upewe Uwaziri si utakuwa zaidi ya Rais.
 
Back
Top Bottom