Rais Samia nashauri mteue Makonda Uwaziri Mambo ya Ndani. Ni jasiri na ndiye mrithi wa Sokoine aliyejitoa sadaka kuwatumikia Watanzania

Akifika ngazi ya uwaziri atataka uraisi hapo ndipo patakapo anza timbwiri zito!
 
Una hoja usikilizwe,
Mrema pia alipokua waziri wa mambo ya ndani alifanya kama Makonda,alikua akisikiliza kera za watu,yakazuka maneno eti anaingilia wizara zingine,mzee wa ruksa akamteua pia kua naibu wa waziri mkuu.
 
Mnakula makande halafu mnavuta bangi na kuja kuandika PUMBA humu.

Huyo Makonda kama unataka awe waziri wa mambo ya ndani ya nyumbani kwako mchukue tu !! Acha kutuletea wahalifu hapa.
 
Usimlinganishe na Sokoine. Sokoine was killed kisa kuna mafisadi alitaka kuwashughulikia.
 
Sawa
 
Samia umesubili nini kumtumbua huyu makondacta. Anakuaibisha. Au unataka tumtandike risasi huku kwetu chuga
 
Mbona chadema wanapigania kwa nguvu zote yule kichaa wao lisu apewe rungu la urais?
Duh! Lissu awe kichaa?. Wengine watakuwaje?. Maana kapita Ilboru, UDSM na ana distinction ya LLM Warwick chuo Cha magenious. Sasa Kama ni kichaa sijui.
 
Tofautisha kiki na uongozi. Tatizo mnadhani kujaza watu kwenye mkutano ni uongozi . Pia ni aibu kumlinganisha Sokoinne na Bashite. Sokoinne hakuwa na vyeti feki.
 
Uenezi umemshinda ndio awe Waziri ?. Umeondolewa kwenye uenezi baada ya mbwembwe za Misafara kubuma ndio upewe Uwaziri si utakuwa zaidi ya Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…