lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona MTU ukitumia akili vyema utajua sifa za mradi kuwa either nyeti au dharura..! Dharura ni pale umepewa muda maalumu wa kukamilisha mradi ambao ukiúpima unauona ni mdogo ukicompare na scope ya kazi yakufanyika, au mradi kuwa na ulazima wa kukamilika kwa haraka. Na case ya unyeti ni mradi ambao sio kila mtu anapaswa kuona michoro yake kwa ajili ya usalama mfano ujenzi wa ikulu, gereza, benki kuu na mengineyo ya mtindo huo, hivyo hukifanya tenda shindani yakupasa kuweka na drawings kwa ajili ya makadirio ya gharama kwa wazabuni ambapo michoro hiyo kutakuwa na chance ya kuingia mikono ya watu wabaya.Sifa za miradi kuitwa "nyeti" au ya "dharura" zimeainishwa wapi? au itategemeana na mawazo ya muhusika? anaweza kuuita mradi wowote aupendao "nyeti" au wa "dharura"
Mkuu mbona alifafanua vizuri kabisa,kwamba hizi pesa tulizopewa inabidi tuzitumie kwa muda wa miezi Tisa kukamilisha hiyo mipango yetu...
Sasa tukisema tufuate taratibu za manunuzi ya serikali au kugawa tenda basi miezi Tisa itafika na tutakua hatujafanya jambo lolote maana taratibu za ugawaji tenda au manunuzi za serikalin zinatumia muda mrefu.
Kwaio akapendekeza itumike njia ya single source ili kukimbizana na muda ...shughuli nyingine za kwenye miradi mingine wataendelea kama kawaida na force account.
Mkuu hiyo sasa ni wewe wasemaMiradi hiyo ni kama vile ujenzi wa uwanja wa ndege chato na ununuzi wa ndege kwa cash money
Single source na force account zipo kwenye sheria mkuu. Ulishaona tenda za vifaa vya majeshi ya ulinzi na usalama vinatangazwa magazetini mkuu?Leo wakati Rais akizindua mpango wa maendeleo (tafsiri "matumizi") ya pesa ya Covid kutoka IMF, amesema anaagiza watumie "single source" kwenye manunuzi na kandarasi. Kasema zabuni za kawaida zinatuchelewesha, hataki kuzisikia.
Swali langu lina sehemu mbili tatu:
hivi taratibu za matumizi ya zabuni shindanishi haziko kisheria ?
the biggest political upheaval ever in this country, ukiondoa Nyerere kufukuzwa Ikulu na jeshi kwa masaa 48, ni pale Prime Minister Lowassa na Principle Secretary Msabaha na wengine walipotimuliwa na shinikizo la tume ya Mwakyembe kwa kushindwa kuzingatia taratibu za manunuzi na zabuni, procurement and tendering.
likaja wimbi kubwa la kutilia mkazo mambo ya procurement, watu mpaka mameneja kwenye mashirika na mawizara wakapelekwa vyuoni na kwenye ma semina kusomea kozi za procurement, sheria ikawa amended ikapewa meno, ikaundwa regulatory body inayoshughulikia procurement tu.... tunakumbuka ?????
haya, akaja Marehemu, akawa anauliza maafisa majukwaaani, mnatumia "force account" ? Force account ikawa habari ya mjini.
sasa leo Rais Samia katangaza anaagiza watumie "single source."
Single source ni nini?
Force account ni nini?
Na zabuni shindanishi zimefutwa lini?
na kwa nini zilikuwa haliteti tija ?
na ni wapi wameona single source au force account ni bora zaidi? Kwa ripoti gani?
tumeacha kupigwa kwenye makandarasi toka single source and force account zije ?
Na Rais anawezaje kufuta sheria ya bunge thabiti jukwaani ?????
Magufuli is a scapegoatHivi kama rais alisema Mbowe ni gaidi na tayari waliokamatwa nyuma yake wameshahukimiwa unatarajia kwake kuvunja sheria ni kitu kitamsumbua? Magufuli aliiharibu taasisi ya urais sana na itachukua muda sana kuirejesha katika nidhamu yake.
Single source na force account zipo kwenye sheria mkuu. Ulishaona tenda za vifaa vya majeshi ya ulinzi na usalama vinatangazwa magazetini mkuu?
Hata single source ni utaratibu wa aerekali ni upo kisheria kwa hilo nampongeza, ila kuwepo na wqna usalama wa kutosha maana hawakawii kuchomeka watu waoMkuu mbona alifafanua vizuri kabisa,kwamba hizi pesa tulizopewa inabidi tuzitumie kwa muda wa miezi Tisa kukamilisha hiyo mipango yetu...
Sasa tukisema tufuate taratibu za manunuzi ya serikali au kugawa tenda basi miezi Tisa itafika na tutakua hatujafanya jambo lolote maana taratibu za ugawaji tenda au manunuzi za serikalin zinatumia muda mrefu.
Kwaio akapendekeza itumike njia ya single source ili kukimbizana na muda ...shughuli nyingine za kwenye miradi mingine wataendelea kama kawaida na force account.
Hiyo ndio hatari yake. Hii kazi tumpe diwani mwenzetu kwa sababu hatatuangusha.Kwa mtindo huu rushwa itatamalaki na vikampuni vya mifukoni vingi vitaanzishwa, mwendazake alilaumiwa kwa Mayanga Construction huyu nae anajitengenezea mazingira.
Miradi confidential ndio ipi, kununua drones za jeshi la zimamoto ?Mkuu single source hutumika kwa case ya miradi ya dharura( uharaka) au miradi yenye unyeti( confidential) hivyo mh. Rais ameona time tuliyonayo ni ndogo kwa mpango husika kwa hiyo miradi mingine itaendelea kufuata utaratibu wa kawaida either forced account au competitive tendering.
Single source ni pale anapatikana mkandarasi bila kumshindanisha na wengine. Mnamteua kwa vigezo vyenu, mna bargain bei, mnaingia nae mkataba. Nadhani athari zake kila mmoja anaziona. Mojawapo ni makampuni yanayofahamika tu ndio yatapata tenda. Yale yanayochipuka ndio basi. Nyingine ni katika hiyo hatua ya kuelewana.
Amandla...
Mhh sijui labda Mama ana taarifa nyeti
Ila single source ni kichaka
Competitive tendering ina faida zake.,hasa km manunuzi si ya vitu sensitive/vya siri
Japo nakubaliana na wewe kwa hili, ila urgency ya Mh. Rais pia inamashiko. Chamsingi ni hata hao single sourced wawekwe wazi ni akina nani ili kupunguza upendeleo wa watu wenye makampuni yao.Mhh sijui labda Mama ana taarifa nyeti
Ila single source ni kichaka
Competitive tendering ina faida zake.,hasa km manunuzi si ya vitu sensitive/vya siri
Kila anayeingia madarakani anaangalia maslahi binafsiLeo wakati Rais akizindua mpango wa maendeleo (tafsiri "matumizi") ya pesa ya Covid kutoka IMF, amesema anaagiza watumie "single source" kwenye manunuzi na kandarasi. Kasema zabuni za kawaida zinatuchelewesha, hataki kuzisikia.
Swali langu lina sehemu mbili tatu:
hivi taratibu za matumizi ya zabuni shindanishi haziko kisheria ?
the biggest political upheaval ever in this country, ukiondoa Nyerere kufukuzwa Ikulu na jeshi kwa masaa 48, ni pale Prime Minister Lowassa na Principle Secretary Msabaha na wengine walipotimuliwa na shinikizo la tume ya Mwakyembe kwa kushindwa kuzingatia taratibu za manunuzi na zabuni, procurement and tendering.
likaja wimbi kubwa la kutilia mkazo mambo ya procurement, watu mpaka mameneja kwenye mashirika na mawizara wakapelekwa vyuoni na kwenye ma semina kusomea kozi za procurement, sheria ikawa amended ikapewa meno, ikaundwa regulatory body inayoshughulikia procurement tu.... tunakumbuka ?????
haya, akaja Marehemu, akawa anauliza maafisa majukwaaani, mnatumia "force account" ? Force account ikawa habari ya mjini.
sasa leo Rais Samia katangaza anaagiza watumie "single source."
Single source ni nini?
Force account ni nini?
Na zabuni shindanishi zimefutwa lini?
na kwa nini zilikuwa haliteti tija ?
na ni wapi wameona single source au force account ni bora zaidi? Kwa ripoti gani?
tumeacha kupigwa kwenye makandarasi toka single source and force account zije ?
Na Rais anawezaje kufuta sheria ya bunge thabiti jukwaani ?????
Tulipowaruhusu ccm wabaki peke yao bungeni ilikuwa ni sawa na tumekabidhi mchonga majeneza atutibie wagonjwa wetuLeo wakati Rais akizindua mpango wa maendeleo (tafsiri "matumizi") ya pesa ya Covid kutoka IMF, amesema anaagiza watumie "single source" kwenye manunuzi na kandarasi. Kasema zabuni za kawaida zinatuchelewesha, hataki kuzisikia.
Swali langu lina sehemu mbili tatu:
hivi taratibu za matumizi ya zabuni shindanishi haziko kisheria ?
the biggest political upheaval ever in this country, ukiondoa Nyerere kufukuzwa Ikulu na jeshi kwa masaa 48, ni pale Prime Minister Lowassa na Principle Secretary Msabaha na wengine walipotimuliwa na shinikizo la tume ya Mwakyembe kwa kushindwa kuzingatia taratibu za manunuzi na zabuni, procurement and tendering.
likaja wimbi kubwa la kutilia mkazo mambo ya procurement, watu mpaka mameneja kwenye mashirika na mawizara wakapelekwa vyuoni na kwenye ma semina kusomea kozi za procurement, sheria ikawa amended ikapewa meno, ikaundwa regulatory body inayoshughulikia procurement tu.... tunakumbuka ?????
haya, akaja Marehemu, akawa anauliza maafisa majukwaaani, mnatumia "force account" ? Force account ikawa habari ya mjini.
sasa leo Rais Samia katangaza anaagiza watumie "single source."
Single source ni nini?
Force account ni nini?
Na zabuni shindanishi zimefutwa lini?
na kwa nini zilikuwa haliteti tija ?
na ni wapi wameona single source au force account ni bora zaidi? Kwa ripoti gani?
tumeacha kupigwa kwenye makandarasi toka single source and force account zije ?
Na Rais anawezaje kufuta sheria ya bunge thabiti jukwaani ?????
10% kama yoteSingle source ni pale anapatikana mkandarasi bila kumshindanisha na wengine. Mnamteua kwa vigezo vyenu, mna bargain bei, mnaingia nae mkataba. Nadhani athari zake kila mmoja anaziona. Mojawapo ni makampuni yanayofahamika tu ndio yatapata tenda. Yale yanayochipuka ndio basi. Nyingine ni katika hiyo hatua ya kuelewana.
Amandla...