Rais Samia: nataka itumike "Single Source." Je, "Force Account" za JPM na "Zabuni Shindanishi" za JK zimeishia wapi? Sheria ya manunuzi imefutwa?

Sifa za miradi kuitwa "nyeti" au ya "dharura" zimeainishwa wapi? au itategemeana na mawazo ya muhusika? anaweza kuuita mradi wowote aupendao "nyeti" au wa "dharura"
Mbona MTU ukitumia akili vyema utajua sifa za mradi kuwa either nyeti au dharura..! Dharura ni pale umepewa muda maalumu wa kukamilisha mradi ambao ukiúpima unauona ni mdogo ukicompare na scope ya kazi yakufanyika, au mradi kuwa na ulazima wa kukamilika kwa haraka. Na case ya unyeti ni mradi ambao sio kila mtu anapaswa kuona michoro yake kwa ajili ya usalama mfano ujenzi wa ikulu, gereza, benki kuu na mengineyo ya mtindo huo, hivyo hukifanya tenda shindani yakupasa kuweka na drawings kwa ajili ya makadirio ya gharama kwa wazabuni ambapo michoro hiyo kutakuwa na chance ya kuingia mikono ya watu wabaya.
 
Kwa nini sheria zisibadalishwe taratibu za manunuzi ya serikali ziwe za muda mfupi?
 
Single source na force account zipo kwenye sheria mkuu. Ulishaona tenda za vifaa vya majeshi ya ulinzi na usalama vinatangazwa magazetini mkuu?
 
Hata single source ni utaratibu wa aerekali ni upo kisheria kwa hilo nampongeza, ila kuwepo na wqna usalama wa kutosha maana hawakawii kuchomeka watu wao
 
mzee wa pmu usipanik sana nafikr weee kama wa idara ya ugav utupe elim tuelewe.kwan wao unafikr wmhawajui hizo biding.zile zinapoteza muda mnakaa mnasain kufungua tenda
kesho mnaruf kujaza aliyeshinda LPO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miradi confidential ndio ipi, kununua drones za jeshi la zimamoto ?

au computer za polisi kupitia kampuni ya Lugumi ?

Halafu ikawaje ? Jeshi la zimamoto lilipiga hela, na tenda za Lugumi zilipigwa hela. Kwa sababu ya tenda za siri.

Ukienda nchi zinazojielewa hakuna mradi confidential unaojulikana na serikali tu, never!

Manunuzi yote ya CIA na tenda za jeshi la Marekani hata kama ni kujenga kituo cha nuclear mipango yote inapitiwa na kuidhinishwa na wananchi kupitia Select Committee on Intelligence, au Armed Services Committee ya Senate au House of Representatives. Hapa Tanzania kuna mbunge gani au kamati gani inaweza kuchambua, kuhoji na kupinga manunuzi ya Ikulu au jeshi ?
 
Mhh sijui labda Mama ana taarifa nyeti

Ila single source ni kichaka
Competitive tendering ina faida zake.,hasa km manunuzi si ya vitu sensitive/vya siri
 
In other words ni kurahisisha UPIGAJI.

 
Tusipende kila wakati kuwa wapotoshaji. Mama amelisema hili wazi na kwa ufasaha kwamva ile sheria ina ruhusu single sourcing kwahiyo kusema shetia iko wapi ndiyo hiyo ina options na sababu za kutumia hizo options amezisema ni kuhakikisha madarasa yanajengwa kabla ya watoto kuanza shule January.

Tuache kuyumbisha viongozi kwa sababu zisizo za msingi. Kweli tutoe maoni ila maoni hayo yawe na lengo la kujenga siyo kubomoa
 
Mhh sijui labda Mama ana taarifa nyeti

Ila single source ni kichaka
Competitive tendering ina faida zake.,hasa km manunuzi si ya vitu sensitive/vya siri
Japo nakubaliana na wewe kwa hili, ila urgency ya Mh. Rais pia inamashiko. Chamsingi ni hata hao single sourced wawekwe wazi ni akina nani ili kupunguza upendeleo wa watu wenye makampuni yao.

All in all corruptions hata kwenye hizo tendering zipo tu. Vyombo vyetu vya usalama vikifanya kazi yake vizuri na kulazimisha uwazi wala hakuna tatizo
 
Kila anayeingia madarakani anaangalia maslahi binafsi
 
Tulipowaruhusu ccm wabaki peke yao bungeni ilikuwa ni sawa na tumekabidhi mchonga majeneza atutibie wagonjwa wetu
 
10% kama yote
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…