Rais Samia: Nawapa kongole Simba Sc

Mara ya mwisho Yanga kutajwa na Raisi nakumbuka ile siku walicheza mechi ya GSM foundation kwa ajili ya kumchangia yule dogo

Na kama sikosei ile mechi iliisha kwa droo, Mayele hakupiga hata on target

Manara alimkatisha Raisi kwenye simu

Nafikiria sijui kosa la Yanga lilianzia hapo?
 
Kesho Wazee wa Utopolo wataitisha Press kuilalamikia Ikulu kwa Upendeleo wa waz waz. Kwanin Mhe.Rais awapongeze Simba tu
 
Wale wengine watumwe kuliwakilisha taifa kwenye lile kombe la mbuzi.
 
Asante mama ila kuna vituko vinakuja si mda mrefu wana utopolo wanakwenda kutuzalilisha ....[emoji26]
 
maaza,maaza maazaa maaza huyoo,,,maazaa maaza huyo maza maza huyoo mazaa[emoji444].

Alafu picha kaweka ile ya ushungi wa Simba,dadeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…