Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Kwa Miaka michache aliyotawala Tanzania, hakutatokea Raisi kama Mama Samia tena! kuanzia Ujenzi wa miradi mikubwa, Ajira kwa vijana, kufungua uchumi kwa wakezaji ambao wamesababisha kuvunja rekodi za makusanyo na ajira kwa sekta binafsi!
Hatujagusa utalii, ninavyoandika hotel na mahema kule Arusha na manyara zimejaa! vile vilio vya kukosekana kwa Dola hatuvisikii tena! Dola zinamwagika (Hivi haziwezi kuzidi ? Wadau wa Uchumi semeni)
Ni Raisi gani atakaekuja tena atakaeweza kubalance Uchumi, uwekezaji, demokrasia na kuzingatia haki za binadamu katika utawala wake ?
Hakika haiwezekani tumlinde, na tetesi tulizozisikia juzi kutoka kwa Makonda kwamba watumishi wanamroga mama, hao ni mafisadi tu, waliozuiwa mirija ya kuiba, na wanaona kabisa utawala huu hawatoboi, niwaambie wameshindwa tayari kwani Mama anazo Sala zetu wote kuanzia watoto mpaka wazee, na wote 18 and above tunasema mitano tena kwa Mama tukutane kwenye Sanduku la kura, Mama tuko naye 💯 💯 % ❤️❤️.