Rais Samia ni Best of the Best Tumlinde

Rais Samia ni Best of the Best Tumlinde

Tatizo liko hapa, hizo pesa za biashara unazosema zinapatikana zinaishia mfuko gani maana taifa ni mikopo tu kila kukicha na hata miradi mingi tu huko vijijini imesimama. Mfano barabara kutoka Mto wa mbu hadi Wasso-Ngorongoro na nyingine nyingi tu.
 
Kwa Miaka michache aliyotawala Tanzania, hakutatokea Raisi kama Mama Samia tena! kuanzia Ujenzi wa miradi mikubwa, Ajira kwa vijana, kufungua uchumi kwa wakezaji ambao wamesababisha kuvunja rekodi za makusanyo na ajira kwa sekta binafsi!

Hatujagusa utalii, ninavyoandika hotel na mahema kule Arusha na manyara zimejaa! vile vilio vya kukosekana kwa Dola hatuvisikii tena! Dola zinamwagika (Hivi haziwezi kuzidi ? Wadau wa Uchumi semeni)

Ni Raisi gani atakaekuja tena atakaeweza kubalance Uchumi, uwekezaji, demokrasia na kuzingatia haki za binadamu katika utawala wake ?

Hakika haiwezekani tumlinde, na tetesi tulizozisikia juzi kutoka kwa Makonda kwamba watumishi wanamroga mama, hao ni mafisadi tu, waliozuiwa mirija ya kuiba, na wanaona kabisa utawala huu hawatoboi, niwaambie wameshindwa tayari kwani Mama anazo Sala zetu wote kuanzia watoto mpaka wazee, na wote 18 and above tunasema mitano tena kwa Mama tukutane kwenye Sanduku la kura, Mama tuko naye 💯 💯 % ❤️❤️.

View attachment 3173736
Hivi wewe
 
Usimtukuze binadamu mwenzio namna hyo,nae ana mwisho wake ambao hakuna anaeweza kuuzuia.
 
Kwasasa ni rahis kujua kama mtu hana akili, we mwambie atoe mtazamo wake kuhusu uongozi wa samia ndo utajua wagonjwa wengi wanatembea, so wale wa hospitali, bomboclattttttttttt!!!!
 
Nilimsikia Makonda akielezea jinsi Royal tour ya Samia imefufua na kusisimua Uchumi wa Arusha ambao ulikufa.

Namba za Samia ni nyingi sana karibu Kila sekta ameweka wonders eg 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DDPyUMktFWN/?igsh=MTZnM2E4Mmg2Zno5MA==

Unaweza mnanga SSH Kwa mambo mengine ila sio kwenye biashara, Uchumi na uwekezaji

Huyo makonda anayesema uchumi ulikuwa umekufa aliyeuwa alikuwa ni nani?
Hii tabia ya kusifia sifia na unafiki ndiyo ina jaribu taifa
 
Kwasasa ni rahis kujua kama mtu hana akili, we mwambie atoe mtazamo wake kuhusu uongozi wa samia ndo utajua wagonjwa wengi wanatembea, so wale wa hospitali, bomboclattttttttttt!!!!
Kwa poor choice yako ya maneno kama bombocalat hustahili hata kutia maoni hapa, subiri tufungue uzi wa kwanini Harmonize anapenda wanawake wenye maumbile makubwa tutakuita uweke bomboclat zako
 
Back
Top Bottom