Rais Samia ni bora angesubiri kwanza achaguliwe Mwenyekiti wa CCM Taifa ndio ahutubie Bunge?

Hata akipata asilimia zero ya kura zote zilizopigwa itatangazwa kapata asilimia 100.
Inawezekana wao ndivyo walivyojipangia, kama inavyosemekana kwa chama Fulani kuwa na mwenyekiti wa kudumu. Mbona hili watu hamuulizi?
 
Umeanza kutapatapa,tulia dawa iingie
Katika hali ya kawaida, Rais Samia atapaswa kuwa mnyenyekevu na mpole kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM unaotaraijiwa kufanyika April 30 mwaka huu(nimesoma mahala), mkutano utakaokuwa na jukumu la kumchagua mwenyekiti wa CCM Taifa huku mama Samia akitarajiwa kuwa ni mgombea pekee.

Kwa mantiki hiyo, sioni uwezekano wa Rais Samia kuwa huru na kufunguka mbele ya wabunge wa CCM atapohotubia Bunge hiyo kesho zaidi ya kulazimika kuwa mpole mbele ya wapiga kura wake iwapo ni kweli haridhishwi na mwenendo wa wabunge licha ya kuwa hapaswi kuingilia Bunge kama mhimili unaojitegemea.

Hata hivyo, hali inaweza kuwa tofauti iwapo Mama Samia anataka kutumia sehemu ya hotuba yake Bungeni kujiipigia kampeni na hili tutaligundua kutokana na aina ya hotuba atayoitoa hiyo kesho.

Uwezekano wa Rais Samia kuchaguliwa upo na ni mkubwa tu, ila pia upo uwezekano wa yeye kuweka rekodi ya kupata ushindi mdogo kulinganisha na watangulizi wake. Hii inatokana na hali iivyo hivi sasa ndani ya CCM na kama inavyojidhihirisha hata ndani ya Bunge.

Hivyo, kama Mama Rais Samia anataka kufunguka ndani ya Bunge, ni bora asubiri uchaguzi upite, ila kama yuko kwenye kampeni, basi ameona mbali na itabidi awe mpole tu mbele ya wabunge wa CCM (wajumbe wa mkutano mkuu).

Nawasilisha.
 
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Samia Suluhu Hassan ndio Rais halali wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania

Aanze na kikao chochote hakuna kinachomtisha wala kumpa hofu

Mungu ibariki Tanzania
 
Katika hali ya kawaida, Rais Samia atapaswa kuwa mnyenyekevu na mpole kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM unaotaraijiwa kufanyika April 30 mwaka huu(nimesoma mahala), mkutano utakaokuwa na jukumu la kumchagua mwenyekiti wa CCM Taifa huku mama Samia akitarajiwa kuwa ni mgombea pekee. Kwa mantiki hiyo, sioni uwezekano wa Rais Samia kuwa huru na kufunguka mbele ya wabunge wa CCM atapohotubia Bunge hiyo kesho zaidi ya kulazimika kuwa mpole mbele ya wapiga kura wake iwapo ni kweli haridhishwi na mwenendo wa wabunge licha ya kuwa hapaswi kuingilia Bunge kama mhimili unaojitegemea. Hata hivyo, hali inaweza kuwa tofauti iwapo Mama Samia anataka kutumia sehemu ya hotuba yake Bungeni kujiipigia kampeni na hili tutaligundua kutokana na aina ya hotuba atayoitoa hiyo kesho. Uwezekano wa Rais Samia kuchaguliwa upo na ni mkubwa tu, ila pia upo uwezekano wa yeye kuweka rekodi ya kupata ushindi mdogo kulinganisha na watangulizi wake. Hii inatokana na hali iivyo hivi sasa ndani ya CCM na kama inavyojidhihirisha hata ndani ya Bunge. Hivyo, kama Mama Rais Samia anataka kufunguka ndani ya Bunge, ni bora asubiri uchaguzi upite, ila kama yuko kwenye kampeni, basi ameona mbali na itabidi awe mpole tu mbele ya wabunge wa CCM (wajumbe wa mkutano mkuu). Nawasilisha.
CCM inamtegemea sana Rais kuliko Rais kuitegemea CCM,maana bila nguvu ya taasisi ya urais CCMingalikuwa ishazikwa siku nyingi na ndio maana CCM inataka Rais ndio awe mwenyekiti.
 
Endeleeni kudemka na ngoma ya CCM enyi wapinzani ! 2025 mtavuna manachokipanda . badala ya kujenga chama chenu mnabaki kupiga promo kwa CCM shauri yenu.
 
Chama kilishajengwa siku nyingi na ndio maana kinawatesa CCM.
 
Katika hali ya kawaida, Rais Samia atapaswa kuwa mnyenyekevu na mpole kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM unaotaraijiwa kufanyika April 30 mwaka huu(nimesoma mahala), mkutano utakaokuwa na jukumu la kumchagua mwenyekiti wa CCM Taifa huku mama Samia akitarajiwa kuwa ni mgombea pekee.

Kwa mantiki hiyo, sioni uwezekano wa Rais Samia kuwa huru na kufunguka mbele ya wabunge wa CCM atapohotubia Bunge hiyo kesho zaidi ya kulazimika kuwa mpole mbele ya wapiga kura wake iwapo ni kweli haridhishwi na mwenendo wa wabunge licha ya kuwa hapaswi kuingilia Bunge kama mhimili unaojitegemea.

Hata hivyo, hali inaweza kuwa tofauti iwapo Mama Samia anataka kutumia sehemu ya hotuba yake Bungeni kujiipigia kampeni na hili tutaligundua kutokana na aina ya hotuba atayoitoa hiyo kesho.

Uwezekano wa Rais Samia kuchaguliwa upo na ni mkubwa tu, ila pia upo uwezekano wa yeye kuweka rekodi ya kupata ushindi mdogo kulinganisha na watangulizi wake. Hii inatokana na hali iivyo hivi sasa ndani ya CCM na kama inavyojidhihirisha hata ndani ya Bunge.

Hivyo, kama Mama Rais Samia anataka kufunguka ndani ya Bunge, ni bora asubiri uchaguzi upite, ila kama yuko kwenye kampeni, basi ameona mbali na itabidi awe mpole tu mbele ya wabunge wa CCM (wajumbe wa mkutano mkuu).

Nawasilisha.
Hawana jeuri ya kutomchagua
 
Hadi aamue kuzitumia hizo nguvu. Sio wote wenye moyo nkama wa jiwe na inaeonekana yeye pia hana moyo huyo.
Rais nchi hii ana nguvu kubwa sana. Sioni hata mtu mmoja anayeweza kuzuia Samia kuwa chairperson
 
Hadi aamue kuzitumia hizo nguvu. Sio wote wenye moyo nkama wa jiwe na inaeonekana yeye pia hana moyo huyo.
Labda aamue kutogombea kabisa.

Hata machinery yake tu haiwezi kuruhusu Rais agombee huo uenyekiti halafu ashindwe. Itaharibu credibility yake kabisa. No one can allow that hasa kwa nchi zetu hizi.

If you ask me, naamini atakuwa mgombea pekee.
 
Kama waliiba kura za watanzania wote hawashindwi kuiba kura za wajumbe wa mkutano mkuu
 
Katika hali ya kawaida, Rais Samia atapaswa kuwa mnyenyekevu na mpole kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM unaotaraijiwa kufanyika April 30 mwaka huu(nimesoma mahala), mkutano utakaokuwa na jukumu la kumchagua mwenyekiti wa CCM Taifa huku mama Samia akitarajiwa kuwa ni mgombea pekee.

Kwa mantiki hiyo, sioni uwezekano wa Rais Samia kuwa huru na kufunguka mbele ya wabunge wa CCM atapohotubia Bunge hiyo kesho zaidi ya kulazimika kuwa mpole mbele ya wapiga kura wake iwapo ni kweli haridhishwi na mwenendo wa wabunge licha ya kuwa hapaswi kuingilia Bunge kama mhimili unaojitegemea.

Hata hivyo, hali inaweza kuwa tofauti iwapo Mama Samia anataka kutumia sehemu ya hotuba yake Bungeni kujiipigia kampeni na hili tutaligundua kutokana na aina ya hotuba atayoitoa hiyo kesho.

Uwezekano wa Rais Samia kuchaguliwa upo na ni mkubwa tu, ila pia upo uwezekano wa yeye kuweka rekodi ya kupata ushindi mdogo kulinganisha na watangulizi wake. Hii inatokana na hali iivyo hivi sasa ndani ya CCM na kama inavyojidhihirisha hata ndani ya Bunge.

Hivyo, kama Mama Rais Samia anataka kufunguka ndani ya Bunge, ni bora asubiri uchaguzi upite, ila kama yuko kwenye kampeni, basi ameona mbali na itabidi awe mpole tu mbele ya wabunge wa CCM (wajumbe wa mkutano mkuu).

Nawasilisha.
Acheni kumtia woga, hivi ccm Kama inatakuzikwa, maana ilisha kufa wazubutu kumpa mwenyeki mtu mwingine, leo ccm kwanza inawanachama ambao hawajui majukum ya uhanachama KWA chama chao ,hawajengi chama, bali hulishwa na chama Mambo ya ajabu,na ndo mfumo ulivyowatengeneza ,wao husubili kampeni ndo wagawiwe kanga na kubebwa kwenye mikokoteni, lazima kumpa mtu wa kutengeneza chama Cha kuleta ushawishi, maana mwenda zake kaacha kakivuruga mpaka Mzee Wasira KWA Mara ya kwanza niliona tabasam lake
 
Ulichoandika ni upumbavu uliokithiri
 
Mimi nilifikiri rais kupitia ccm automatic anakuwa mwenyekiti wa ccm kumbe hali ni tofauti?? Anyways anayehutubia bunge ni rais wa nchi na siyo mwenyekiti wa chama.
 
Ulichoandika ni upumbavu uliokithiri
Nimeandika upumbavu KWA sababu hu mpumbavu hujuhi majira ,na nakupa onyo iko hivi Hacha lahana ya ukoo wako ikutafune,inatosha ,Kama wataka nyingine TOKA kwangu haina gharama utaipata na sema swa nakuhamru chunnga mdomo wako na fikra zako ,utaipata tabu siko hapa KWA hajili ya tumbo langu ,jiheshim na MUNGU atakuheshim
 
Back
Top Bottom