Rais Samia ni bora angesubiri kwanza achaguliwe Mwenyekiti wa CCM Taifa ndio ahutubie Bunge?

Hata akipata asilimia zero ya kura zote zilizopigwa itatangazwa kapata asilimia 100.
Inawezekana wao ndivyo walivyojipangia, kama inavyosemekana kwa chama Fulani kuwa na mwenyekiti wa kudumu. Mbona hili watu hamuulizi?
 
Umeanza kutapatapa,tulia dawa iingie
 
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Samia Suluhu Hassan ndio Rais halali wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania

Aanze na kikao chochote hakuna kinachomtisha wala kumpa hofu

Mungu ibariki Tanzania
 
CCM inamtegemea sana Rais kuliko Rais kuitegemea CCM,maana bila nguvu ya taasisi ya urais CCMingalikuwa ishazikwa siku nyingi na ndio maana CCM inataka Rais ndio awe mwenyekiti.
 
Endeleeni kudemka na ngoma ya CCM enyi wapinzani ! 2025 mtavuna manachokipanda . badala ya kujenga chama chenu mnabaki kupiga promo kwa CCM shauri yenu.
 
Endeleeni kudemka na ngoma ya CCM enyi wapinzani ! 2025 mtavuna manachokipanda . badala ya kujenga chama chenu mnabaki kupiga promo kwa CCM shauri yenu.
Chama kilishajengwa siku nyingi na ndio maana kinawatesa CCM.
 
Hawana jeuri ya kutomchagua
 
Hadi aamue kuzitumia hizo nguvu. Sio wote wenye moyo nkama wa jiwe na inaeonekana yeye pia hana moyo huyo.
Rais nchi hii ana nguvu kubwa sana. Sioni hata mtu mmoja anayeweza kuzuia Samia kuwa chairperson
 
Hadi aamue kuzitumia hizo nguvu. Sio wote wenye moyo nkama wa jiwe na inaeonekana yeye pia hana moyo huyo.
Labda aamue kutogombea kabisa.

Hata machinery yake tu haiwezi kuruhusu Rais agombee huo uenyekiti halafu ashindwe. Itaharibu credibility yake kabisa. No one can allow that hasa kwa nchi zetu hizi.

If you ask me, naamini atakuwa mgombea pekee.
 
Kama waliiba kura za watanzania wote hawashindwi kuiba kura za wajumbe wa mkutano mkuu
 
Acheni kumtia woga, hivi ccm Kama inatakuzikwa, maana ilisha kufa wazubutu kumpa mwenyeki mtu mwingine, leo ccm kwanza inawanachama ambao hawajui majukum ya uhanachama KWA chama chao ,hawajengi chama, bali hulishwa na chama Mambo ya ajabu,na ndo mfumo ulivyowatengeneza ,wao husubili kampeni ndo wagawiwe kanga na kubebwa kwenye mikokoteni, lazima kumpa mtu wa kutengeneza chama Cha kuleta ushawishi, maana mwenda zake kaacha kakivuruga mpaka Mzee Wasira KWA Mara ya kwanza niliona tabasam lake
 
Ulichoandika ni upumbavu uliokithiri
 
Mimi nilifikiri rais kupitia ccm automatic anakuwa mwenyekiti wa ccm kumbe hali ni tofauti?? Anyways anayehutubia bunge ni rais wa nchi na siyo mwenyekiti wa chama.
 
Ulichoandika ni upumbavu uliokithiri
Nimeandika upumbavu KWA sababu hu mpumbavu hujuhi majira ,na nakupa onyo iko hivi Hacha lahana ya ukoo wako ikutafune,inatosha ,Kama wataka nyingine TOKA kwangu haina gharama utaipata na sema swa nakuhamru chunnga mdomo wako na fikra zako ,utaipata tabu siko hapa KWA hajili ya tumbo langu ,jiheshim na MUNGU atakuheshim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…