Rais Samia ni bora angesubiri kwanza achaguliwe Mwenyekiti wa CCM Taifa ndio ahutubie Bunge?

Tafiti kabla ya kashfa , Sasa Kama we mwana wa bwana lidia update jinu kwamba MUNGU tupo, punguani Sana
 

Siku ccm itatenganisha kofia ya urais na uenyekiti wa ccm, ndio utakuwa mwisho rasmi wa hilo genge haramu liitwalo ccm.
 
Kuwa mwenyekiti atakuwa tu hata akihutubia kabla au baada.
 
Hivi ww una akili TIMAMU KWELI. MAGUFULI ALIPOLIHUTUBIA BUNGE MWAKA 2015 ALIKUWA MWENYEKITI WA CHAMA? HUU UPUMBAVU HIVI MTAACHA LINI.? yaan amuogope boya LUSINDE?
 
Tunasubiri safu ya chama itakuwaje hapo ndio tutaongea sasa acha tuweke akiba maneno
 
Mama asihofu lolote CHADEMA milango ipo wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…