Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Hebu angalia jinsi anavyo control gia, jinsi anavyocheza na sterling ya gari, jinsi anavyoongeza speed bila kuyumbisha gari.
Miluzi inapigwa na wapuuzi fulani kutoka siti ya nyuma, siti za pembeni kulia na kushoto, raisi anawasikia, lakini anatambua madhara makubwa yatakayotokea pindi atapogeuka kuangalia.
Sasa kwa ueledi mkubwa yeye hageuki kuangalia, macho yake ni mbele tu ili kutufikisha salama kule tunapoelekea.
Na abiria twafurahi raisi kutuendesha watanzania, hakika ni dereva mzuri na mwenye uzoefu wa njia.