Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo tulia the less you know the betterKama kina Dr Slaa na Lisu hawaziachi wewe ni nani hadi ukatae?
Miluzi inapigwa na wapuuzi fulani kutoka siti ya nyuma, siti za pembeni kulia na kushoto, raisi anawasikia, lakini anatambua madhara makubwa yatakayotokea pindi atapogeuka kuangalia.
Tuna namna 5 za kukifahamu kitu;Habari zenu wanaJF wenzangu,
Hebu angalia jinsi anavyo control gia, jinsi anavyocheza na sterling ya gari, jinsi anavyoongeza speed bila kuyumbisha gari.
Miluzi inapigwa na wapuuzi fulani kutoka siti ya nyuma, siti za pembeni kulia na kushoto, raisi anawasikia, lakini anatambua madhara makubwa yatakayotokea pindi atapogeuka kuangalia.
Sasa kwa ueledi mkubwa yeye hageuki kuangalia, macho yake ni mbele tu ili kutufikisha salama kule tunapoelekea.
Na abiria twafurahi raisi kutuendesha watanzania, hakika ni dereva mzuri na mwenye uzoefu wa njia.
Wapiga kelele wengi wanataka kumtafutia ajali ya kutengeneza kupitia kelele zao. Ndio maana akaona bora asigeuka ili kulinda usalama wao wanaopiga kelele na wasiopiga kelele.Ila keshasema ameziba masikio ndio maana hasikii na kwa kutosikia kwake ataliingiza gari mtaroni kwani kuna baadhi ya abiria wanaona yale ambayo dereva hayaoni na kutoa tahadhari.
Kuwa kiongozi haimaanishi kuwa una akili kuliko wengine zile ni dhamana za muda tu zinakuja na kuondoka muda ukifika hata yeye atakua abiria kama wengine.
Hizi nafasi sio za kudumu tuzitumie vizuri.
Kaishashtuka kwamba wapiga kelele ni wale wale wanaomtafutia ajali ya njia kwa malengo yao binafsi.Hao wanaopiga miiluzi washapita barabara hiyo. Wanajua korongo lipo wapi wanajua pale kwenye chaka huwa kuna gogo barabarani!
Hatahivyo ni Dereva gani huyo anaye waachia abiria mbele nyuma kushoto na kulia wapige makelele? wakati yeye anaendesha.... ni yule asiye makini na huo ni uzoefu 101 What you are describing is Dystopian a Chaos in Utopian!
Sijawahi kusikia sehemu yeyote ile Mkuu wa nchi au hata wale watu wanaomtetea kuwaita wananchi wake ni wapuuzi. Hizi na sababu zingine zinawafanya watu kurudisha matusi kama wanavyotukanwa. Kuna dharau nyingo sana.
Peteroli hiyoooo Simama mama tuangalie tanki kunani?Tuna namna 5 za kukifahamu kitu;
1. Kwa kunusa
Given, mimacho ipombele tu;Wanasayansi wanasema ajali nyingi hutokea kwenye blind spot isitoshe unatakiwa uwe unatizama vioo vyote kila baada ya takriban sekunde 15!2. Kwa kuona
Dereva kesha sema kaziba masikio....miluzi anayosikia wanampigia kumwambia tairi lisha basti nje3. Kwa kusikia
Unalamba lamba nini ukiwa unaendesha?4. Kwa kulamba
??5. Kwa kugusa
Kugeuka, ni kwamba unataka afahamu kinachoendelea kwa kuona, kitu ambacho ni asilimia 20 tu ya hivyo vitano. Kutokugeuka hakumaanishi kwamba hajui, vinne vilivyobaki vinampa taarifa kamili ya kinachoendelea.
Hawa wapiga kelele ni hawa waliokuwa karibu naye, na makele anayosikia yanamziba masikio kusikia wale wanaopiga miluzi tena walio nje ya gari...kumtaadharisha 'Tairi lishapasuka'Kaishashtuka kwamba wapiga kelele ni wale wale wanaomtafutia ajali ya njia kwa malengo yao binafsi.
So ana haki ya kuwapuuza kwa usalama wa maisha ya watu wengine waliopo kwenye gari.
hahahaSubiria matusi Kwa wafuasi wa Slaa
Huyu Rais ni Kiongozi sio mtawala kawashinda wengi wakunja ndita 🤣🤣Habari zenu wanaJF wenzangu,
Hebu angalia jinsi anavyo control gia, jinsi anavyocheza na sterling ya gari, jinsi anavyoongeza speed bila kuyumbisha gari.
Miluzi inapigwa na wapuuzi fulani kutoka siti ya nyuma, siti za pembeni kulia na kushoto, raisi anawasikia, lakini anatambua madhara makubwa yatakayotokea pindi atapogeuka kuangalia.
Sasa kwa ueledi mkubwa yeye hageuki kuangalia, macho yake ni mbele tu ili kutufikisha salama kule tunapoelekea.
Na abiria twafurahi raisi kutuendesha watanzania, hakika ni dereva mzuri na mwenye uzoefu wa njia.
Ni hodari, makini na mjuzi wa kuongoza.Huyu Rais ni Kiongozi sio mtawala kawashinda wengi wakunja ndita 🤣🤣