Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Hata kama hataki kugeuka nyuma basi aangalie hata side mirror tuHabari zenu wanaJF wenzangu,
Hebu angalia jinsi anavyo control gia, jinsi anavyocheza na sterling ya gari, jinsi anavyoongeza speed bila kuyumbisha gari.
Miluzi inapigwa na wapuuzi fulani kutoka siti ya nyuma, siti za pembeni kulia na kushoto, raisi anawasikia, lakini anatambua madhara makubwa yatakayotokea pindi atapogeuka kuangalia.
Sasa kwa ueledi mkubwa yeye hageuki kuangalia, macho yake ni mbele tu ili kutufikisha salama kule tunapoelekea.
Na abiria twafurahi raisi kutuendesha watanzania, hakika ni dereva mzuri na mwenye uzoefu wa njia.
Mkuu kuna ofa inatolewa na wazee wa bandari, pambana usiikose.Chawa zipo nyingi
Ukiona mpaka usiku wazee wa bandari hawajakuingizia vocha kwenye PM yako nijulishe nikupe namba zao uwapigie, maana umeshajitolea sana kuwapigania lakini hela zao zinaliwa na watu wenye majina kama vile Dr Slaa, Lisu nk.Namba ya simu kaka rudi haraka umesahau
Ndomaana wenzetu kutoka Kenya, Rwanda, Zambia nk huwa wanatucheka san watanzania.Subiria matusi Kwa wafuasi wa Slaa
Anapangua gia tu bila shaka yoyote. Juzi alielekea malawi, mara arusha.Breki zishakata mteremko wa mlima kitonga, na Kona ileeeee, ngoja tuone umahiri wa dreva wetu.
Sina haja na ofa mimi najiwezaMkuu kuna ofa inatolewa na wazee wa bandari, pambana usiikose.
Ni Kweli kabisa, anapangua GIA Kwa ustadi mkubwa,Anapangua gia tu bila shaka yoyote. Juzi alielekea malawi, mara arusha.
Ni dereva anajiamini na kuamini kule anapotupeleka.
Kama kina Dr Slaa na Lisu hawaziachi wewe ni nani hadi ukatae?Sina haja na ofa mimi najiweza
Check PM wazee wa bandari washakutumia vocha tayari.weka sasa namba ya simu tukutumie allowance yako ya leo
#chawa all over
Ndio mawazo yako yalipofika, dereva huangalia mbele lakini ana vioo vya kuangalia nyuma...muda mwingine kelele ni onyo na huepusha ajali...Habari zenu wanaJF wenzangu,