Rais Samia ni jasiri mpambanaji

Lukas mbwa wa shamba
Acha matusi mkuu na jitahidi kuwa na heshima hata kama hupendi kuona maandiko yangu basi jitahidi kuheshimu hata utu wa mtu na kuwa na uvumilivu kwa yale usiyokubaliana nayo kimitizano. Watu wote huku hatuwezi kuwaza kwa namna sawa na tukawa na mawazo sawa kwa kila jambo.
 

Bora unavyoweka namba utapata uteuzi soon , si Kwa kujituma huko [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuma salamu kwa watu wa 5
 
Bora unavyoweka namba utapata uteuzi soon , si Kwa kujituma huko [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sitafuti uteuzi ndugu yangu maana ingekuwa ni hivyo ningekuwa nimeshaishiwa hata nguvu ya kutafuta hela ya kununulia vocha Dukani.
 
Mungu chukua haraka hili lishetani
 
Kaza kamba kijana.

Piga pambio kijana.

Andaa masifu ya kuabudu na kumtukuza Rais.

Vipi teuzi bado tu?

Kaza buti kwenye masifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…