TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Kuna mmoja kasema vijana wanaapizana asiponunua gari aitwe Mbwa sikuielewa hii, mawimbi ya redio ya masaa ya kati yalikatika.TRA wanamdai billion 30
Baadae wakashusha Billion 10
That is un applicable
Ina maana kuna mengi wafanyabiashara wanasingiziwaKasema mwanzo alikadiliwa kodi 30 billions, baada ya kulalamika wakampungizia ikabaki 10 Billions....!
Akashindwa kulipa akayaacha na Makontena yenyewe...!
Cha ajabu usiku wa jana kuamkia kikao cha leo, wamempigia simu aende kuchukua Mankotena yake.
HAo waliopiga simu za aina hiyo wafuatiliwe na kuchukuliwa hatuaNa ni wepesi kweli kupiga simu "Unadaiwa Mill kadhaa, na inaongeleka kupata punguzo" alafu ukiwajia juu hawapigi tena🤣🤣
Ifikie kipindi hizi kodi za mafikirisho ili kutengeneza mianya ya rushwa kwa watumishi wa TRA idhibitiwe kwa kuwawajibisha wahusika.
PHD Mwiguru amepwayaKipekee nakushukuru kwa kuchukua hatua za dhati za kunusuru soko la kariakoo kwa kumtuma Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa. Kwa kweli amefanya kazi kubwa ya kunusuru uchumi wetu.
Pamoja na yote yaliyojadiliwa kuna kiu cha uwajibikaji. Imedhihirika baadhi ya watendaji wako wana uwezo mdogo na wengine ni wazembe na wenye zarau
Ni ombi letu na kama itakupendeza wachukulie hatua au wahamishe au wasimamishe kazi wote walioonekana ni kikwazo kwa wafanyabiashara na uchumi wetu. Na katika hili usiwaache kambare ukaondoa dagaa utakua haujafanya kitu.
Kwa macho yako umeona kiu cha wale ambao wanalalamikiwa ni kazi kwako kuwaondoa au kuendelea kuwafuga.
Nakukumbusha Mh. Jakaya alimuondoa Kalamagi, Nchimbi, Lowasa. Pia Chuma JPM aliwaondoa Kangi Lugola, Mwigulu, Simbachawene nk ili kuleta ustawi na kuonesha uwajibikaji kwa watanzania
Sasa kama hautakuwa na serikali ya uwajibikaji au hata kuhamisha watendaji na mawaziri au hata kuwaondoa basi madhara yatakayotokea ni juu yako na utawala wako.
Chukua hatua
Leo ndio nimegundua mwigulu ni kipenzi na nakubaliana kweli kuna mtandao wao ilikuwaje Komredi makala kula makali bila kutajwa kuwa chanzo cha mgogoro huu haraka vile nikajua asbh hatufiki hao waliotajwa live watakuwa wametemwa au ndio watupisheKipekee nakushukuru kwa kuchukua hatua za dhati za kunusuru soko la kariakoo kwa kumtuma Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa. Kwa kweli amefanya kazi kubwa ya kunusuru uchumi wetu.
Pamoja na yote yaliyojadiliwa kuna kiu cha uwajibikaji. Imedhihirika baadhi ya watendaji wako wana uwezo mdogo na wengine ni wazembe na wenye zarau
Ni ombi letu na kama itakupendeza wachukulie hatua au wahamishe au wasimamishe kazi wote walioonekana ni kikwazo kwa wafanyabiashara na uchumi wetu. Na katika hili usiwaache kambare ukaondoa dagaa utakua haujafanya kitu.
Kwa macho yako umeona kiu cha wale ambao wanalalamikiwa ni kazi kwako kuwaondoa au kuendelea kuwafuga.
Nakukumbusha Mh. Jakaya alimuondoa Kalamagi, Nchimbi, Lowasa. Pia Chuma JPM aliwaondoa Kangi Lugola, Mwigulu, Simbachawene nk ili kuleta ustawi na kuonesha uwajibikaji kwa watanzania
Sasa kama hautakuwa na serikali ya uwajibikaji au hata kuhamisha watendaji na mawaziri au hata kuwaondoa basi madhara yatakayotokea ni juu yako na utawala wako.
Chukua hatua
Wakifuatilia simu za maafisa wa TRA wengi watakatwa nasi wananchi hatuna budi kuitaka mamlaka kufuatilia ili kumaliza SHUTUMA na MALALAMIKO ya wafanya biasharaHAo waliopiga simu za aina hiyo wafuatiliwe na kuchukuliwa hatua
Hao wote waliotajwa ni watu wake wa karibu sana, hawagusikiKipekee nakushukuru kwa kuchukua hatua za dhati za kunusuru soko la kariakoo kwa kumtuma Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa. Kwa kweli amefanya kazi kubwa ya kunusuru uchumi wetu.
Pamoja na yote yaliyojadiliwa kuna kiu cha uwajibikaji. Imedhihirika baadhi ya watendaji wako wana uwezo mdogo na wengine ni wazembe na wenye zarau
Ni ombi letu na kama itakupendeza wachukulie hatua au wahamishe au wasimamishe kazi wote walioonekana ni kikwazo kwa wafanyabiashara na uchumi wetu. Na katika hili usiwaache kambare ukaondoa dagaa utakua haujafanya kitu.
Kwa macho yako umeona kiu cha wale ambao wanalalamikiwa ni kazi kwako kuwaondoa au kuendelea kuwafuga.
Nakukumbusha Mh. Jakaya alimuondoa Kalamagi, Nchimbi, Lowasa. Pia Chuma JPM aliwaondoa Kangi Lugola, Mwigulu, Simbachawene nk ili kuleta ustawi na kuonesha uwajibikaji kwa watanzania
Sasa kama hautakuwa na serikali ya uwajibikaji au hata kuhamisha watendaji na mawaziri au hata kuwaondoa basi madhara yatakayotokea ni juu yako na utawala wako.
Chukua hatua
Ilifikafikaje 3B?Kodi halali ya Serikali lazima tulipe, tusitegemee kuonewa huruma kwenye mapato ya Serikali.
Kama yule mama anadaiwa Kodi ya billioni 3 halafu anataka kukwepa eti alipe milioni 150!!!
hili haliwezekani, Kodi halali lazima ilipwe.
Nasema wakwepa Kodi wa kubwa ni wafanyabiashara wakubwa hawa ndio wanaongoza kukwepa Kodi na kutoa rushwa kwa TRA
PhD ya kweli hujiweka wazi yenyewe, na fake nayo kadhalika hujianika bila ubishiPHD Mwiguru amepwaya
Hajaambiwa aende kuchukua bure inabid atoe 3.4B ambayo ni asilimia km 30% ya deni lake ambayo kashindwa kulipa piaKasema mwanzo alikadiliwa kodi 30 billions, baada ya kulalamika wakampungizia ikabaki 10 Billions....!
Akashindwa kulipa akayaacha na Makontena yenyewe...!
Cha ajabu usiku wa jana kuamkia kikao cha leo, wamempigia simu aende kuchukua Mankotena yake.
Iyo ni mbaya sana yani sasa mbona wengi wataumia hasa wasio na uelewa.Na ni wepesi kweli kupiga simu "Unadaiwa Mill kadhaa, na inaongeleka kupata punguzo" alafu ukiwajia juu hawapigi tena🤣🤣
Ifikie kipindi hizi kodi za mafikirisho ili kutengeneza mianya ya rushwa kwa watumishi wa TRA idhibitiwe kwa kuwawajibisha wahusika.
Njaa na viapo wapi kwa wapiUna maana wakiapa ndio hawadai rushwa?
Viongozi wote wameapa tena kwa Bible na Misahafu ila wanaiba kila kukicha
Kuna watu hawamuogopi Mungu kabisa bali wanamkubali shetani kinyama
Kutoka 30 billions mpaka 3.5 Billions!Hajaambiwa aende kuchukua bure inabid atoe 3.4B ambayo ni asilimia km 30% ya deni lake ambayo kashindwa kulipa pia
Ukitoa opinion yako kwenye public huku Africa is too risk unless Huna cha kupotezaLeo ndio nimegundua mwigulu ni kipenzi na nakubaliana kweli kuna mtandao wao ilikuwaje Komredi makala kula makali bila kutajwa kuwa chanzo cha mgogoro huu haraka vile nikajua asbh hatufiki hao waliotajwa live watakuwa wametemwa au ndio watupishe
Nimekata Tamaa kbs na nchi hii
Kissing had rushwa inakithiri ni uzemne wa TAKUKURUSijasikia popote wakitajwa takukuru ile neno rushwa TRA na Polisi wametajwa sana. Vipi Takukuru na vyombo vya usalama mbona havitimizi wajibu kumsaidia raisi. kuna mfumuko mkubwa wa rushwa toka aondoke mwenda zake, ni watu gani waliowekwa takukuru ambao mnawaogopa kuwakumbusha wajibu wao
Hakika, Bila kusahau Bwana Masawe.Kipekee nakushukuru kwa kuchukua hatua za dhati za kunusuru soko la kariakoo kwa kumtuma Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa. Kwa kweli amefanya kazi kubwa ya kunusuru uchumi wetu.