Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ana nguvu ya kipekee sana ya kiuongozi ndani yake kuanzia kwenye kauli zake za kuunganisha taifa, kwenye mipango mikakati yake ya maendeleo kisiasa, kijamii na kiuchumi..
Mathalani falsafa yake ya 4rs imeleta pumzi mpya kwenye siasa za Tanzania, lakini pia inazungumzwa sana, inatumika sana, inaponya na kukwamua mikwamo ya kisasa Africa Mashariki na kwingineko duniani..
Dhamira ya dhati, nia na maono yake yana aminika mno Tanzania na katika ukanda wote wa Africa Mashariki kwa ujumla, kiasi kwamba hali ya kuaminiana na kupendana kwa wananchi imejengeka haraka sana ndani ya mioyo ya waTanzania...
Maneno yake ya kutia moyo yamehuisha mioyo ya waTanzania wengi sana waliokata tamaa na kuwapa faraja na matumaini mapya ya kusonga mbele...
Mara zote maneno na kauli zake maeneo mbalimbali, zime liunganisha Taifa na Africa Mashariki kwa kiasi kikubwa na kuimarisha umoja, amani na utulivu eneo lote hilo. Utangamano miongoni mwa wananchi ni mkubwa na Imara sana...
Ana aminika kiasi kwamba hakuna mwananchi mwenye mashaka na maamuzi yake wala uelekeo wake..
Anayemchukia au kumpinga anaonekana ni mpinga maendeleo kituko, au mwenye matatizo ya afya ya fikra licha ya kua hiyo ni haki na uhuru wake.
Una mpingaje mtu mwema, mwenye dhamira njema na kipenzi cha wengi?
Dkt. Samia Suluhu Hassan, rais ni reference ama kielelezo cha upatanisho na kiuanganisha cha wasioelewana na faraja kwa waliokata tamaa Africa Mashariki..
Ni kichocheo cha uadilifu, uaminifu, uwazi bidii na kuheshimiana makazini na hata majumbani..
Kama Taifa, lakini pia Africa Mashariki, tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa zawadi ya huyu kiongozi wetu ambae sote kama Taifa tuna mpenda sana na tuna Imani nae sana...
Tumuombee kwa Mungu aendelee kumjalia afya njema na maisha marefu ili kusudi tuendelee kufurahia matunda ya mipango yake madhubuti ya maendeleo kwa waTanzania na wana Africa Mashariki wote.
Mungu Ibariki Tanzania