Rais Samia ni kiongozi wa mioyo ya watanzania na wana Afrika Mashariki kwa ujumla

Unazungumzia Maoni ya wapumbavu na machawa waliolipwa kupush # ili ionekane Samia anafanya kazi hakuna mtu anauejielewa anayeweza kukubaliana na ujinga huu
actually,
ni uhuru na haki yako kikatiba kua na maoni na mtazamo kama ulio nao,

but ukweli utabaki kama nilivyoeleza kinagaubaga kwenye hoja ya msingi kwamba huyi mama Dr.Samia Suluhu Hassan no kiongozi anaeishi na kuongoza nchi mioyo ya waTanzania kwa pamoja...

anakubalika sana na kuamainika sana Tanzania na Africa Mashariki
 
Watu kama awa ndo mnatufanya tujute Kuzaliwa kwenye nchi hii,
 
uyu ndiye Faustine Jackson Mafwele na namba zake za Simu ni +255 755 855 743 na +255 787 922 913Huyu ameua watu wengi sana Mwanza , sasa ni kiongozi wa utekaji Dar na Tanzania nzima kupitia kituo cha Polisi Chang’ombe Temeka ambapo wana jengo la mateso kwa Watanzania

Ahueni mimi ni Mtanganyika. Hivyo sipo kwenye moyo wa mtu yeyote yule.
 
Ahueni mimi ni Mtanganyika. Hivyo sipo kwenye moyo wa mtu yeyote yule.
kwahivyo unamkubali kiaina Dr Samia suluhu Hassan, right?🐒

huku unaskiza ile ngoma ya Hussein Machozi utapenda, right?🐒
 
🤣🤣🤣🤣

Wamaasai kiboko!! Wamepindua juu chini akili za CHAWA.

Chawa mna kazi wallah 🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣

Wamaasai kiboko!! Wamepindua juu chini akili za CHAWA.

Chawa mna kazi wallah 🤣🤣🤣
huna mawazo mapya wala fikra mbadala dhidi ya hoja mezani, right?🐒

pumzika tu sasa maana huna hoja ama?
 
sasa,
kama wewe umekuja kupimwa huo upepo, hiyo ni hiyari na uamuzi wako...

but kama kiongozi wa wananchi, ninao wajibu wa kusema Ukweli tena Ukweli mtupu kwa maslahi mapana ya waTanzania wote, upende, usipende 🐒
najua ukweli unaujua kwa hiyo unaamua kujizhma data. Kama uko serikalini utakuwa unaona yanayoenelea na kama unapendezwa nayo basi wewe si mzalendo wa Tanganyika.
 
najua ukweli unaujua kwa hiyo unaamua kujizhma data. Kama uko serikalini utakuwa unaona yanayoenelea na kama unapendezwa nayo basi wewe si mzalendo wa Tanganyika.
ndiyo,
ukweli naujua kwasababu uwezo na ufahamu wangu juu ya mambo haya ni mkubwa zaidi na ndio maana nimekuja hapa kuwathibitishia ukweli huu ninyi ndrugu zangua wa heshima saba hapa JF, kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan ni kiongoz anaishi na kutawala nfani ya mioyo ya waTanzania
 
sasa,
kama wewe umekuja kupimwa huo upepo, hiyo ni hiyari na uamuzi wako...

but kama kiongozi wa wananchi, ninao wajibu wa kusema Ukweli tena Ukweli mtupu kwa maslahi mapana ya waTanzania wote, upende, usipende 🐒
Wewe ni kiongozi wa wananchi? If yes basi nimepata jibu kwanini tanzania ni maskini.
 
👆
Chawa wawezeshwe na pia wazidi kujengewa uwezo tuelekeapo katika chaguzi mbili zijazo.
 
Wewe ni kiongozi wa wananchi? If yes basi nimepata jibu kwanini tanzania ni maskini.
si tu wa wananchi,
bali pia ni kiongozi kwa maslahi mapana ya waTanzania wote. umaskini ni dhana ya wavivu tu but Tanzania kama taifa ni tajiri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…