Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Leo ilikuwa kilele Cha siku ya mwananchi, kiukweli ukiangalia namna mabango yalivyokuwa yamepambwa na picha za mh Rais wetu kipenzi mama Samia Suluhu Hassan na namna yalivyokuwa yanaleta shangwe, unagundua kuwa mama Samia anaishi katika mioyo ya watanzania walio wengi sana nikiwemo Mimi ambaye nakubaliana sana na utendaji wake wa kazi, Yote hii Ni kutokanaa na uchapakazi wake uliotukuka, Asante Yanga kwa upendo wenu kwa mh Rais wetu