jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Andelea kujifariji.Hapana simpongezi mh Rais kwa kujipendekeza Bali kwa kazi nzuri anazozifanya za kulitumikia Taifa hili, Tatizo letu sisi Ni kuwa kila Anaye pongeza Basi anaitwa chawa mtafuta vyeo, lakini lazima tujuwe kuwa uongozi unatoka kwa Mungu na siyo kwa mwanadamu, hivyo tumpe moyo na faraja kiongozi anapofanya vyema, hata wenzetu huko ulaya na hata marekani Wana utamaduni huu wa kupongezana na kukosoana kwa hoja na Sera, hawapingi kila kitu na hawasifii kila kitu, hawakosoi kila kitu na hawakatai kila kitu, Bali hupongeza na kukubaliana pale penye ukweli unapokuwa upo wazi machoni pa wote, Na lazima tujuwe kuwa hakuna mwanadamu aliyekamilika na ndio maana tunajifunza kila siku na kujisahihisha kila siku huku tukiomba busara na hekima za mwenyezi Mungu katika kutuongoza kwenye maamuzi yetu
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app