Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Njaa mbaya sana hasa ikihamia kichwani..nakushauri mleta mada katafute kazi halali ya kufanya..kushinda kwenye makorido ya ofisi za lumumba itakukost..ipo siku utaombwa goti wala usishangae.Leo ilikuwa kilele Cha siku ya mwananchi, kiukweli ukiangalia namna mabango yalivyokuwa yamepambwa na picha za mh Rais wetu kipenzi mama Samia suluhu Hassan na namna yalivyokuwa yanaleta shangwe, unagundua kuwa mama Samia anaishi katika mioyo ya watanzania walio wengi saanaa nikiwemo Mimi ambaye nakubaliana Sana na utendaji wake wa kazi, Yote hii Ni kutokanaa na uchapakazi wake uliotukuka, Asante yanga kwa upendo wenu kwa mh Rais wetu
Hapana siyo uchawa Ila mh Rais amekuwa na mvuto mkubwa Sanaa kwa watanzania kutokanaa na uchapa kazi wake unaogusa maisha ya watanzania, Kama angekuwa hapendwi Basi usingeyaona hayo mabango uwanjani yakumsifu na kumpongezaUchawa at work hata Magu watu walimsifu sana na kumnyeyeke na hii ndio kawaida ya wabongo kujipendekeza hovyo.
Kama kumpongeza mtu Anaye fanya vyema Ni njaa Basi acha niwe na njaa ya kumfariji Rais wangu zidi ya wale wamkatishao tamaa kwa maslahi binafsi, mtu hawezi akafanya vyema halafu asipongezwe et kwa kuhofia kuwa nitaonekana Nina njaa, sitaogopa Kuendelea kumpongeza mh Rais pale anapofanya vizuri hata Kama nitatukanwa, Najuwa siyo wote mtampenda kwa kazi nzuri anayoifanya lakini wenye kuona tutaendelea kumtia moyo ili aendelee kuchapa kaziNjaa mbaya sana hasa ikihamia kichwani..nakushauri mleta mada katafute kazi halali ya kufanya..kushinda kwenye makorido ya ofisi za lumumba itakukost..ipo siku utaombwa goti wala usishangae.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hapana siyo uchawa Ila mh Rais amekuwa na mvuto mkubwa Sanaa kwa watanzania kutokanaa na uchapa kazi wake unaogusa maisha ya watanzania, Kama angekuwa hapendwi Basi usingeyaona hayo mabango uwanjani yakumsifu na kumpongeza
Tunakubali namna ambavyo mh Rais anaendelea kuchapa kazi na ndio maana unaona mama anang'aa Hadi uwanjani bila shida yoyote huku kila mtu alitamanii ashike bango lenye picha ya Rais SamiaMabango yatakosekanaje wakati chawa kama wewe mpo wa kutosha?
Wenzako walikua waandika na namba za simu.Kama kumpongeza mtu Anaye fanya vyema Ni njaa Basi acha niwe na njaa ya kumfariji Rais wangu zidi ya wale wamkatishao tamaa kwa maslahi binafsi, mtu hawezi akafanya vyema halafu asipongezwe et kwa kuhofia kuwa nitaonekana Nina njaa, sitaogopa Kuendelea kumpongeza mh Rais pale anapofanya vizuri hata Kama nitatukanwa, Najuwa siyo wote mtampenda kwa kazi nzuri anayoifanya lakini wenye kuona tutaendelea kumtia moyo ili aendelee kuchapa kazi
Basi ungekuwa nchi Kama Uganda ungekuwa umezimia, jioni Hadi Rais wa Zambia amekuja kujifunza kwa mh Rais wetu kipenzi, mama anaupiga mwingi Hadi majirani wanakuja kujifunza kwetuWewe zezeta kweli,ni huyu huyu samia au mwingine? Anatuchanganya tu kila siku na machawa yake
Haaaaahaaaaaahaaaaa Mimi namuunga mkono mh Rais na kumsemea bila malipo maana kazi anazozifanya Ni mshahara na malipo kwanguWenzako walikua waandika na namba za simu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hapana sitafuti uteuzi maana uongozi unatoka kwa Mungu na siyo mwanadamu, mungu alitaka kukuinua hasubiri umsifie mtu ndio akupe Bali atakupa tu maana yeye ndio mtoa njia na maarifa, Na Kama haikupangwa kuwa kiongozi utakufa siyo kiongozi, uongozi Ni utumishi na napoona watu Kama mh Rais Samia anatoa utumishi uliotukuka Sina budi kumpongeza na kumtia moyo kwa kazi anazofanya, maana siyo wote wanaoweza wakakupongeza kwa kuwa wengine wanasubiri anguko lako au ukosee ili wapate pakukushambulia, hivyo Sina budi kumpongeza mh Rais wangu kwa kazi ngumu ya kuwatumikia watanzaniaMkuu unatafuta teuzi
Uzuri walikuwepo wengi sana kama wewe humu jf..endelea kupambana tuone mwisho wakoHapana sitafuti uteuzi maana uongozi unatoka kwa Mungu na siyo mwanadamu, mungu alitaka kukuinua hasubiri umsifie mtu ndio akupe Bali atakupa tu maana yeye ndio mtoa njia na maarifa, Na Kama haikupangwa kuwa kiongozi utakufa siyo kiongozi, uongozi Ni utumishi na napoona watu Kama mh Rais Samia anatoa utumishi uliotukuka Sina budi kumpongeza na kumtia moyo kwa kazi anazofanya, maana siyo wote wanaoweza wakakupongeza kwa kuwa wengine wanasubiri anguko lako au ukosee ili wapate pakukushambulia, hivyo Sina budi kumpongeza mh Rais wangu kwa kazi ngumu ya kuwatumikia watanzania
Mimi ni mtanzania kwa kuzaliwa, wazazi wangu Ni watanzania kwa kuzaliwa, babu na bibi zangu Ni watanzania kwa kuzaliwa, hivyo Mimi ni mtanzania na Sina ubaguzi Kama unavyotaka kunibagua na kunibatiza uraia usio wanguMwashambwa Rudi Zambia
Hapana simpongezi mh Rais kwa kujipendekeza Bali kwa kazi nzuri anazozifanya za kulitumikia Taifa hili, Tatizo letu sisi Ni kuwa kila Anaye pongeza Basi anaitwa chawa mtafuta vyeo, lakini lazima tujuwe kuwa uongozi unatoka kwa Mungu na siyo kwa mwanadamu, hivyo tumpe moyo na faraja kiongozi anapofanya vyema, hata wenzetu huko ulaya na hata marekani Wana utamaduni huu wa kupongezana na kukosoana kwa hoja na Sera, hawapingi kila kitu na hawasifii kila kitu, hawakosoi kila kitu na hawakatai kila kitu, Bali hupongeza na kukubaliana pale penye ukweli unapokuwa upo wazi machoni pa wote, Na lazima tujuwe kuwa hakuna mwanadamu aliyekamilika na ndio maana tunajifunza kila siku na kujisahihisha kila siku huku tukiomba busara na hekima za mwenyezi Mungu katika kutuongoza kwenye maamuzi yetuUzuri walikuwepo wengi sana kama wewe humu jf..endelea kupambana tuone mwisho wako
Ushauri punguza kuherehere na njaa..mwisho wa toilet pepa nadhani unajua vzr.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kama kumpongeza mtu Anaye fanya vyema Ni njaa Basi acha niwe na njaa ya kumfariji Rais wangu zidi ya wale wamkatishao tamaa kwa maslahi binafsi, mtu hawezi akafanya vyema halafu asipongezwe et kwa kuhofia kuwa nitaonekana Nina njaa, sitaogopa Kuendelea kumpongeza mh Rais pale anapofanya vizuri hata Kama nitatukanwa, Najuwa siyo wote mtampenda kwa kazi nzuri anayoifanya lakini wenye kuona tutaendelea kumtia moyo ili aendelee kuchapa kazi
Tunakubali namna ambavyo mh Rais anaendelea kuchapa kazi na ndio maana unaona mama anang'aa Hadi uwanjani bila shida yoyote huku kila mtu alitamanii ashike bango lenye picha ya Rais Samia
Unenena kweli tupu.Haaaaahaaaaaahaaaaa Mimi namuunga mkono mh Rais na kumsemea bila malipo maana kazi anazozifanya Ni mshahara na malipo kwangu