Jana wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya JWTZ ulitutaka wananchi kulinda na kuheshimu katiba katika kulinda nchi.
Kilichonishangaza ni kuwa ni wewe mwenyewe uliwahi kusema katiba ni kitabu tu wakati viongozi wa vyama vya siasa walipokuwa wakijadili umuhimu wa kupata Katiba mpya ili kuendeleza demokrasia na ustawi wa jamii.
Sasa je kwako katiba ni muhimu pale unapotaka kulinda maslahi yako lakini wengine wakihitaji Katiba kwa maslahi mapana ya nchi kinakuwa ni kitabu tu kisicho na umuhimu wo wote?