Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mimi kuiga Cockney English kunatoka wapi? Mimi na Cockney English wapi na wapi?Kwa hiyo na wewe umeiga Cockney English?
Unatakiwa kuandika kwa usahihi ili wasomaji wako waelewe lakini unaweza kuongea kwa mkato kwa kuwa unakuwa uso kwa uso na wasikilizaji wako!
Unatakiwa kuandika na kusema kwa usahihi.
Na hao wanaoongea Cockney mbaya, wakiandika wanaandika vibaya zaidi, na hao ni wazawa.
Huijui dunia wewe!