Rais Samia ni lini Katiba ikakoma kuwa kitabu tu?

Kwa hiyo na wewe umeiga Cockney English?

Unatakiwa kuandika kwa usahihi ili wasomaji wako waelewe lakini unaweza kuongea kwa mkato kwa kuwa unakuwa uso kwa uso na wasikilizaji wako!
Mimi kuiga Cockney English kunatoka wapi? Mimi na Cockney English wapi na wapi?

Unatakiwa kuandika na kusema kwa usahihi.

Na hao wanaoongea Cockney mbaya, wakiandika wanaandika vibaya zaidi, na hao ni wazawa.

Huijui dunia wewe!
 
Dunia ipo kwa hao wasema cockney?
 
Katiba ya sasa ndiyo pumzi ya CCM! Sasa ni Rais yupi ambaye yuko tayari Chama kife kwa kutaka Katiba Mpya?
Hilo litabaki ni wimbo wa Demokrasia!
 
Watanzania tuna jambo letu! 2025 tusifanye makosa.
Your browser is not able to display this video.
 
View: https://youtu.be/N1FqC6dnklo?si=pj9pFFvbvEsQ3X9L
Sikiliza hotuba ya hayati Mwalimu Julius Nyerere kuhusu katiba na wajibu wa Rais katika kuitetea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…