Rais Samia, ni lini utateua Mkuu Mpya wa Magereza?

Rais Samia, ni lini utateua Mkuu Mpya wa Magereza?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Ni takribani mwezi mmoja sasa toka umuondoe aliyekua mkuu wa Jeshi la Magereza.

Je, lini utateua mkuu mpya?
 
Ni takribani mwezi mmoja sasa toka umuondoe aliyekua mkuu wa jeshi la magereza.
Je lini utateua mkuu mpya?
 
Acha mabwana jela,wajipimie... yeye aendelee na ziara.
 
Ni zamu ya Zanzibar ilikudumisha muungano.
 
Back
Top Bottom