PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 969
- 1,055
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametajwa miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi zaidi Barani Afrika. Rais Samia ametajwa na Jarida la Most Influecial African Women (MOAW) miongoni mwa wanawake mwenye ushawishi Barani Afrika katika kipengele cha Uongozi (Governance).
Jarida la AvanceMedia100 kila mwaka limekuwa likichapisha majina ya wanawake wenye ushawshi zaidi barani Afrika waliopigiwa kura/kuchaguliwa katika nyanja mbalimbali ikiwemo biashara, mabadiliko ya tabia Nchi, huduma kwa jamii, diplomasia, burudani, uongozi, habari (media) pamoja na michezo.
TwendePamoja
Samia
Afrika
WanawakeWenyeUshawishi
KwaMatokeoYaHaraka