Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Kitu chochote Chenye Thamani Hapa Duniani ni lazima kilindwe kwa Gharama ya Aina yoyote ile iwayo. Rais Samia Ni Moyo Wa Taifa hili Ulioshikilia uhai na ustawi wake. Ni Pumzi ya Taifa ambayo ikipungua tu nguvu yake kuna hatari ya Kusambaratika,kugawanyika na kupasuka kwa Taifa letu.
Bila Rais Samia na uwepo wake madarakani Taifa letu lingekuwa halipo ,lingekuwa limepoteza kila kitu ,lingekuwa limebakia vipande vipande,hakuna Taifa lingebakia na kuitwa Tanzania. Bila Rais Samia Taifa hili lingekuwa limezalisha na kutoa wakimbizi. Bila Rais Samia hali ya umaskini ingekuwa kubwa kuwahi kushuhudiwa katika historia ya Ulimwengu Huu.
Bila Rais Samia watu wangekuwa wanazikana kwa misingi ya ukabila ,ukanda na itikadi za kisiasa. Bila Rais Samia tungekuwa tumechinjana na kuuwana sisi kwa sisi. Bila Rais Samia kila mmoja kwa sasa angekuwa anaishi kama digidigi .
Ikumbukwe ya kuwa Ni Rais Samia aliyerejesha umoja , mshikamano, upendo na umoja wa kitaifa. Ni Rais Samia aliyerejesha Utaifa na kuondoa mawazo ya kibaguzi yaliyokuwa yameanza kujitokeza hapa Nchini Hususani mawazo ya ukanda ,ukabila na hata Udini.
Bila Rais Samia pengine hata uchaguzi wa mwaka 2025 usingefanyika. Kwa sababu Tayari maadui zetu na wasaliti wa Taifa letu walikuwa wameweka tayari mipango ya kuleta na kuchochea machafuko ,umwagaji Damu na hata kuchochea Vitendo vyenye viashiria vya kufanya Mapinduzi kwa serikali yetu ili Taifa letu lisitawalike na hata kuondosha amani na utulivu Nchini.
Bila Rais Samia suala la Amani lingekuwa limebakia kama historia katika vitabu vya historia ambavyo vingekuja kusomwa na vizazi vijavyo na kubakia na mshangao tu.
Lakini ni kwa Uhodari , ushupavu , umadhubuti na umakini wa Rais wetu Mpendwa amefanikiwa kutuvusha tukiwa kama Taifa moja na kushinda hila za maadui na wasaliti wa Taifa letu waliotaka kuangamiza Taifa hili. Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu na Rais wetu kwa kutuvusha salama kama Taifa katika nyakati ngumu ambazo Maadui zetu walifikiria kuwa wamefanikiwa kutumaliza na kutunasa katika mtego wao.
Rais Samia Ameliheshimisha Taifa letu na kuonyesha Umakini wake kiuongozi. Amekataa kuwa katika historia ya kwamba Taifa letu liliangamia ,kuteketea , kusambaratika,kuvunjika na kupasuka likiwa mikononi mwake. Amelivusha Taifa salama na Bado Taifa letu linaendelea kuwa salama ,tulivu na lenye umoja na mshikamano wa kitaifa.
Hivyo watanzania yatupasa Kumlinda Rais wetu kimaombi na kwa gharama zozote zile ziwazo. Huu ndio Moyo wa Taifa letu,ndio pumzi ya Taifa hili na ndio kila kitu kilipojishikilia . Bila yeye hakuna kitakachofanikiwa na kufanikishwa na yeyote yule. Iwe ni wakulima , watumishi wa umma,vijana na yeyote yule mwenye ndoto kubwa. Rais Samia ndiye daraja la kutuvusha watanzania wote kuelekea Nchi ya Kanaani Nchi ya Asali na Maziwa.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.