Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Ni lini Samia awapo Tanzania Ikulu haikuwa hewani? Nikumbushwe huenda nimesahau.
Hakika sikumbuki.
Tangu awe Rais kwa bahati mbaya dada huyo kila uchwao awapo Tanzania ni lazima Ikulu iwe mbashara kwenye Tv ama yeye mwenyewe akihudhuria jambo fulani hata kama halina sifa za uwepo wake ama Ikulu ipo mbashara kuelezea sifa ambazo zingine hazina hata tija kwa Watanganyika. Ndiyo, namaanisha kwa Watanganyika.
Binafsi, sipendezwi na hali hiyo.
Tulimsema Magufuli kwa upenda sifa wake kumbe yupo awaye mpenda kuliko.