Rais Samia ni mpenda sifa kuliko hata Hayati Magufuli

Kusifia si vibaya, lakini lkizidi inakuwa Kama kashfa. Mfano ni dakika/saa ngapi zimetumika bungeni kusifia? Na madudu ripoti ya CAG nani serikalini abebeshwe lawama?
 
Ni lini Samia awapo Tanzania Ikulu haikuwa hewani?Nikumbushwe huenda nimesahau!

Hakika sikumbuki!

Toka awe Rais kwa bahati mbaya dada huyo kila uchwao awapo Tanzania ni lazima Ikulu iwe hewani ama yeye mwenyewe akihudhuria jambo fulani hata kama halina sifa za uwepo wake ama Ikulu ipo hewani kuelezea sifa ambazo zingine hazina hata tija kwa Watanganyika.Ndiyo, namaanisha kwa Watanganyika!

Binafsi, sipendezwi na hali hiyo.

Tulimsema Magufuli kwa upenda sifa wake kumbe yupo awaye mpenda kuliko...!!!
MARAIS WA NCHI NYINGINE MPAKA UKISIKIA ANATOA HOTUBA BASI KUNA JAMBO NA KILA MTU ANATAFUTA NAFASI YA KUMSIKILIZA.

SASA HUYU🙄
 
Ni lini Samia awapo Tanzania Ikulu haikuwa hewani?Nikumbushwe huenda nimesahau!

Hakika sikumbuki!

Toka awe Rais kwa bahati mbaya dada huyo kila uchwao awapo Tanzania ni lazima Ikulu iwe hewani ama yeye mwenyewe akihudhuria jambo fulani hata kama halina sifa za uwepo wake ama Ikulu ipo hewani kuelezea sifa ambazo zingine hazina hata tija kwa Watanganyika.Ndiyo, namaanisha kwa Watanganyika!

Binafsi, sipendezwi na hali hiyo.

Tulimsema Magufuli kwa upenda sifa wake kumbe yupo awaye mpenda kuliko...!!!
Sifa anapenda na ndoto zake za kuwajaza chawa wake pesa wamsifie,anachoweza ni kubuni vitu vya hovyo mara uchifu,kukiuka haki za binadamu kwa wamasai...kuteua kila uchwao na mipasho jukwaani
 
Ni lini Samia awapo Tanzania Ikulu haikuwa hewani?Nikumbushwe huenda nimesahau!

Hakika sikumbuki!

Toka awe Rais kwa bahati mbaya dada huyo kila uchwao awapo Tanzania ni lazima Ikulu iwe mbashara kwenye Tv ama yeye mwenyewe akihudhuria jambo fulani hata kama halina sifa za uwepo wake ama Ikulu ipo mbashara kuelezea sifa ambazo zingine hazina hata tija kwa Watanganyika.Ndiyo, namaanisha kwa Watanganyika!

Binafsi, sipendezwi na hali hiyo.

Tulimsema Magufuli kwa upenda sifa wake kumbe yupo awaye mpenda kuliko...!!!

upo sawa hilo tumeliona mpaka tumechooooka
 
Matukio haya yalionyesha Magufuli alipenda sifa kuliko kitu chochote.

Viumbe wazito
mmesahau Magufuli hata akiwa Chato likizo amebeba wajukuu mmlikuwa mnapost picha…?

Magufuli alipost picha akiwa amelala juu ya mawe.

Magufuli alipiga picha ameenda kununua samaki na mapapai mmesahau..?

Magufuli Ali rekodi video ya simu akishangilia ushindi wa Stars kufuzu Mataifa ya Afrika!

Haya yote machache yalikuwa hayana tija kwa Taifa hakuna mahali watu walilalamika. Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
 
Me nadhani tukubaliane tu, hao wote watch100 na stone ni wapenda misifa.
 
Ni lini Samia awapo Tanzania Ikulu haikuwa hewani?Nikumbushwe huenda nimesahau.

Hakika sikumbuki.

Toka awe Rais kwa bahati mbaya dada huyo kila uchwao awapo Tanzania ni lazima Ikulu iwe mbashara kwenye Tv ama yeye mwenyewe akihudhuria jambo fulani hata kama halina sifa za uwepo wake ama Ikulu ipo mbashara kuelezea sifa ambazo zingine hazina hata tija kwa Watanganyika. Ndiyo, namaanisha kwa Watanganyika.

Binafsi, sipendezwi na hali hiyo.

Tulimsema Magufuli kwa upenda sifa wake kumbe yupo awaye mpenda kuliko.
ungehama tu Nchi kuepuka hizo kero bibie
 
Matukio haya yalionyesha Magufuli alipenda sifa kuliko kitu chochote.

Viumbe wazito
mmesahau Magufuli hata akiwa Chato likizo amebeba wajukuu mmlikuwa mnapost picha…?

Magufuli alipost picha akiwa amelala juu ya mawe.

Magufuli alipiga picha ameenda kununua samaki na mapapai mmesahau..?

Magufuli Ali rekodi video ya simu akishangilia ushindi wa Stars kufuzu Mataifa ya Afrika!

Haya yote machache yalikuwa hayana tija kwa Taifa hakuna mahali watu walilalamika. Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
wanafiki hawa
 
Ni lini Samia awapo Tanzania Ikulu haikuwa hewani?Nikumbushwe huenda nimesahau.

Hakika sikumbuki.

Toka awe Rais kwa bahati mbaya dada huyo kila uchwao awapo Tanzania ni lazima Ikulu iwe mbashara kwenye Tv ama yeye mwenyewe akihudhuria jambo fulani hata kama halina sifa za uwepo wake ama Ikulu ipo mbashara kuelezea sifa ambazo zingine hazina hata tija kwa Watanganyika. Ndiyo, namaanisha kwa Watanganyika.

Binafsi, sipendezwi na hali hiyo.

Tulimsema Magufuli kwa upenda sifa wake kumbe yupo awaye mpenda kuliko.
Hizi ndio nongwa zenyewe, akikaa kimya mtaanza mbona rais wetu yupo kimya hivi ni mzima kweli?. akiongea mara kwa mara mnadai anapenda sifa!.

Nyinyi mavyoanzisha uzi mara kwa mara ni kupenda sifa au?.
 
Ni lini Samia awapo Tanzania Ikulu haikuwa hewani?Nikumbushwe huenda nimesahau.

Hakika sikumbuki.

Toka awe Rais kwa bahati mbaya dada huyo kila uchwao awapo Tanzania ni lazima Ikulu iwe mbashara kwenye Tv ama yeye mwenyewe akihudhuria jambo fulani hata kama halina sifa za uwepo wake ama Ikulu ipo mbashara kuelezea sifa ambazo zingine hazina hata tija kwa Watanganyika. Ndiyo, namaanisha kwa Watanganyika.

Binafsi, sipendezwi na hali hiyo.

Tulimsema Magufuli kwa upenda sifa wake kumbe yupo awaye mpenda kuliko.
Lini ulimsema huyo unayemsema
 
Back
Top Bottom