Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
AmeigaHiyo tabia kama anayo basi atakuwa alifundishwa na mwendazake.
..basi alifundishika vibaya kwa maana kazidi!Hiyo tabia kama anayo basi atakuwa alifundishwa na mwendazake.
Kaiga vibaya.Ameiga
Anakera!Umeongea point tupu
Hapana, ndio amekuwa mwanafunzi mzuri...basi alifundishika vibaya kwa maana kazidi!
Usipende kulia lia kama mtoto wa kike. Fanya kazi yako kwa manufaa ya familia /ndugu zako. Amini nakwambia usukuma gang hausaidii lolote katika maisha yako. Mwache Rais wetu kipenzi SSH apige kaziNi lini Samia awapo Tanzania Ikulu haikuwa hewani?Nikumbushwe huenda nimesahau!
Hakika sikumbuki!
Toka awe Rais kwa bahati mbaya dada huyo kila uchwao awapo Tanzania ni lazima Ikulu iwe hewani ama yeye mwenyewe akihudhuria jambo fulani hata kama halina sifa za uwepo wake ama Ikulu ipo hewani kuelezea sifa ambazo zingine hazina hata tija kwa Watanganyika.Ndiyo,namaanisha kwa Watanganyika!
Binafsi, sipendezwi na hali hiyo.
Tulimsema Magufuli kwa upenda sifa wake kumbe yupo awaye mpenda kuliko...!!!
Hutaki mwona raisi wako ndugu! Kuna ubaya gani raisi kuonyesha shughuli zake za kila siku kwa maboss wake?Ni lini Samia awapo Tanzania Ikulu haikuwa hewani?Nikumbushwe huenda nimesahau!
Hakika sikumbuki!
Toka awe Rais kwa bahati mbaya dada huyo kila uchwao awapo Tanzania ni lazima Ikulu iwe hewani ama yeye mwenyewe akihudhuria jambo fulani hata kama halina sifa za uwepo wake ama Ikulu ipo hewani kuelezea sifa ambazo zingine hazina hata tija kwa Watanganyika.Ndiyo, namaanisha kwa Watanganyika!
Binafsi, sipendezwi na hali hiyo.
Tulimsema Magufuli kwa upenda sifa wake kumbe yupo awaye mpenda kuliko...!!!
Kunywa sumuAnakera!
Hakuna namnaKaiga vibaya.
Kwa kawaida wanawake ni wapenda sifa sana, ni watu wanaopenda attention sana na ukitaka uende nae vzr hata akirukiwa na uji wa ugali akipiga kelele jifanye unamkimbilia ukiwa umebeba siraha as ifu umehisi kavamiwa aisee wanapenda khaaa!! ninachotaka kukueleza ni kwamba yeye pia mwache apende tu hizo sifa ni Hulka zao full stop!Tulimsema Magufuli kwa upenda sifa wake kumbe yupo awaye mpenda kuliko...!!!
Ngoja wenyewe waje...Toka awe Rais kwa bahati mbaya dada huyo...
Utakufa nacho kijiba cha rohoNi lini Samia awapo Tanzania Ikulu haikuwa hewani?Nikumbushwe huenda nimesahau!