Rais Samia ni mpenda sifa kuliko hata Hayati Magufuli

Kusifia si vibaya, lakini lkizidi inakuwa Kama kashfa. Mfano ni dakika/saa ngapi zimetumika bungeni kusifia? Na madudu ripoti ya CAG nani serikalini abebeshwe lawama?
 
MARAIS WA NCHI NYINGINE MPAKA UKISIKIA ANATOA HOTUBA BASI KUNA JAMBO NA KILA MTU ANATAFUTA NAFASI YA KUMSIKILIZA.

SASA HUYU🙄
 
Sifa anapenda na ndoto zake za kuwajaza chawa wake pesa wamsifie,anachoweza ni kubuni vitu vya hovyo mara uchifu,kukiuka haki za binadamu kwa wamasai...kuteua kila uchwao na mipasho jukwaani
 

upo sawa hilo tumeliona mpaka tumechooooka
 



Matukio haya yalionyesha Magufuli alipenda sifa kuliko kitu chochote.

Viumbe wazito
mmesahau Magufuli hata akiwa Chato likizo amebeba wajukuu mmlikuwa mnapost picha…?

Magufuli alipost picha akiwa amelala juu ya mawe.

Magufuli alipiga picha ameenda kununua samaki na mapapai mmesahau..?

Magufuli Ali rekodi video ya simu akishangilia ushindi wa Stars kufuzu Mataifa ya Afrika!

Haya yote machache yalikuwa hayana tija kwa Taifa hakuna mahali watu walilalamika. Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
 
Me nadhani tukubaliane tu, hao wote watch100 na stone ni wapenda misifa.
 
ungehama tu Nchi kuepuka hizo kero bibie
 
wanafiki hawa
 
Hizi ndio nongwa zenyewe, akikaa kimya mtaanza mbona rais wetu yupo kimya hivi ni mzima kweli?. akiongea mara kwa mara mnadai anapenda sifa!.

Nyinyi mavyoanzisha uzi mara kwa mara ni kupenda sifa au?.
 
Lini ulimsema huyo unayemsema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…