Rais Samia ni mwanadiplomasia namba moja Afrika

Rais Samia ni mwanadiplomasia namba moja Afrika

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Rais Samia Suluhu ni mwanadiplomasia namba moja africa ameimarisha diplomasia katika nchi mbalimbali na leo ameelekea nchini China kwa ziara ya siku tatu.

Habari za haraka kuhusu ziara ya Rais Samia Suluhu nchini China.

1. Amekuwa Rais wa kwanza wa Afrika kukutana na Rais Xi tangu kuongezewa madaraka yake.

2. Uhusiano wa Tanzania na China ulianza miaka 58 iliyopita.

Ziara hii ya Rais Samia Suluhu inaenda kuimarisha Uchumi wa Tanzania, Utamaduni, na Kisiasa.
Pia itaimarisha sekta mbalimbali kama vile miundombinu, kilimo, uwekezaji, biashara na masoko.
 
Back
Top Bottom