Rais Samia, nilikutahadharisha mapema

Rais Samia, nilikutahadharisha mapema

Kufungu ubalozi siyo kuvunja diplomatic ties na nchi. Kuna nchi nyingi zina diplomatic ties na Tanzania bila kuwa na ofisi za ubalozi Tanzania
Mkuu usilazimishe Barabara kuwa Bahari, mkeo akikuchoka hawezi kukutamkia kuwa hakutaki,ataanza kurudi nyumbani saa 5 usiku bila sababu, halafu utajiongeza mwenyewe.
 
Kufungu ubalozi siyo kuvunja diplomatic ties na nchi. Kuna nchi nyingi zina diplomatic ties na Tanzania bila kuwa na ofisi za ubalozi Tanzania
Unajua ni kwanini zinakuwa na balozi wakilishi ktk kanda? na kwanini zisifungue balozi kila nchi zenye ties nao?
 
Nyie kenge si mlisema mama ameondoa sukuma gang na kwamba sasa hivi ushauri unatoka msoga!

Mmesahau?

Oh so sorry, kumbe ni nyumbu!3
Tafuta hela visirani kama hivi hutokea kwa watu duni. Fanya kazi ingiza pesa uwe na furaha.
 
Kwa akili zako unadhani ulivyoandika hapa hayo maushauri mama alikuwa na muda wa kuyasoma?

Hivi mnadhani Rais ni kama moderator wa JamiiForums?

Siku nyingine, gonga hodi ikulu pale uombe appointment ya kulonga na mama....
Mbona ukigusa maslahi yao humu unadakwa? Wanajuaje kama hawaingii humu na kuyasoma.
 
Mbona ukigusa maslahi yao humu unadakwa? Wanajuaje kama hawaingii humu na kuyasoma.
Humu wanaingia sana tu tena kuna askari maalum wapo 24hrs.
Kuna siku niliandika uzi saa 9 jioni kumtuhumu kigogo mmoja alitumbuliwa siku ileile saa 12 jioni na wakapiga simu izi ufutwe
 
Kwa akili zako unadhani ulivyoandika hapa hayo maushauri mama alikuwa na muda wa kuyasoma?

Hivi mnadhani Rais ni kama moderator wa JamiiForums?

Siku nyingine, gonga hodi ikulu pale uombe appointment ya kulonga na mama....
Unajuaje hapitii humu?
Au we ni bawabu wa chamwino?

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, nakupa baraka zote za jpili, wewe ni mtu mwema Sana , barikiwa pitia pembe zote za dunia, sio MNAFIKI ,walipenda taifa hili , nami nasema barikiwa anzia unyayo wako mpaka utosi wa kichwa Chako na imekua
Mkuu na mimi naziomba baraka aisee J pili imekaa hovyo sana
 
Nyuzi nyingine bwana.....! Eti rais ulimtahadharisha.. Eti unainfo Za denimark kuvunja ubalozi kuliko info alizonazo amiri jeshi mkuu
Amiri jeshi mkuu alishindwa kujua polisi wamempora Hamza na Hamza amejiapiza kisasi
 
Mama kageuzwa symbolic leader na Sukuma gang ,mbaya zaidi wametumia tiss kumblock communication na marais wastaafu . Sukuma gang is leading a country behind the scenes .
 
Back
Top Bottom