Rais Samia: Nilimwondoa Kidata TRA sababu niliona mwishoni atadata

Kwa maelezo mafupi ya mteule ni kwamba anajua kamishna ni mwizi kamteua ili akazibe mianya yote ya wizi anayoijua. 😁😁

Mbwa kaachiwa alinde bucha. Hii nchi ngumu sana.
Kuna muda nahisi kuwaelewa wale waliotaka kupindisha katiba 2021
 
Kweli kazi ya Wizi mwajiri Mwizi
 
Kwa maelezo mafupi ya mteule ni kwamba anajua kamishna ni mwizi kamteua ili akazibe mianya yote ya wizi anayoijua. 😁😁

Mbwa kaachiwa alinde bucha. Hii nchi ngumu sana.
Kuna muda nahisi kuwaelewa wale waliotaka kupindisha katiba 2021
Kazi ya Wizi mpe Mwizi
 
Anaziba tundu la panya kwa mkate, angeishia kuwa Mrs somebody anatumbukiza taifa shimoni, hana huruma na kizazi chetu alitakiwa apigwe mawe yeye na watu wake mpaka kufa hii ni kufuru
Kazi ya Wizi mpe Mwizi aibe vizuri Tom & Jerry kabisa hii
 
Fisi kakabidhiwa Mifupa yake aendelee kuipukusa
 
Lipo kundi la Watoto wa Mjini la Amos Makala na Dr Nchimbi na wenzao bila shaka na Rais akiwemo na limetangazwa hadharani.

Je mama leo alikuwa anamsajili Kamishina Mkuu wa TRA kwenye kundi hilo kwa kumuita mtoto wa mjini?
 
Rais tunaye
 
Aisee Kazi ipo
 
Subiri uone
Mkuu huna kitu,nyosha maelezo vinginevyo watakuita akina pangu pakavu weka mchuzi.

Mwl.Nyerere pamoja na mambo mengi ya kuikomboa Africa lakini alitugeuza watu baki kisa English communications language. Akijua knowledge is power,
Wabongo wako vizuri lakini hawafahamiki kimataifa.
Ila watoto wao .......
 
Tungekuwa na Gen Z inayojitambua vema mama angefurushwa ikulu kesho asubuhi!
Haiwezekani uendeshe nchi kwa kubahatisha hivi huku mamlaka yote umepewa na katiba!
Yaaan...Kuna nafasi sisi wanawake hazitufaii...acha tupake lipustic na kulea familia..sasa ndio nini hichooo...Enyi wanaume wa Tanzania kazi kwenuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…