Rais Samia: Nilimwondoa Kidata TRA sababu niliona mwishoni atadata

Dawa ya moto ni moto ili ukamate wezi lazima nawewe uwe au uwaze kama wezi
 
Acha mkuu,kweli??
 


NB: Kiukweli 2025 tugangamale vingine tutakuja kuwa Zimbambwe iliyochangamka.
Sema ungangamale sio tungangamale,samia ni jiwe lililokataliwa na waashi ambalo limekuwa jiwe la msingi,angalau anaipeleka nchi katika mwerekeo sahihi,nje na CCM sioni mtu wa kupambana na samia,ningekuwa mimi tume ya uchaguzi tungeahirisha uchaguzi kwa 2025 hadi 2030.


Viva samia ,sisi watumishi wa umma na wananchi wa chini tunakuelewa
 
Huyu mama mshaurini asiwe anaongea ama hao wasaidizi wake hawafanyi kazi zao ipasavyo
 
Mimi nimesikiliza hiyo hotuba nimeshangaa baadhi ya kauli za namba moja. Hakupaswa kutoa kauli za namna hiyo.
 
Unachekesha!
 
Lipo kundi la Watoto wa Mjini la Amos Makala na Dr Nchimbi na wenzao bila shaka na Rais akiwemo na limetangazwa hadharani.

Je mama leo alikuwa anamsajili Kamishina Mkuu wa TRA kwenye kundi hilo kwa kumuita mtoto wa mjini?
Makala mnyiramba,nchimbi mnyasa,wanakuwaje watoto wa mjini ilhali mjini ni dar na pwani!?
 
Katika jamii ambayo 70% ya watu ni hopeless huwezi kupata viongozi makini
 
Amesema amefanya mabadiliko hayo ya kumuondoa Alphayo Japan Kidata ambaye ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais, Ofisi ya Rais – Ikulu kwa kuwa anaamini alipokuwa alielekea ni ‘ku-data’

Your browser is not able to display this video.
 
Hakuna Rais hapa ni bomu Tena la kienyeji
 
Uwe na busara basi! Pitia tena ulichokiandika uone kama ni kizuri. 🙏🙏🙏
Fikiria mwaka huu bajeti ya magari ni mara TATU ya mwaka Jana unahisi nitaandika nini ??Wakati watoto wangu na babu wanakula hospitali hawana dawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…