Rais Samia: Nimekaa kwenye TV tangu saa 10 jioni nikifutilia sherehe za Yanga

Sipendi sana timu kuingizwa kwenye siasa
 
Haya wale mliokua mnasema mtahama team, vipii bado hamjafanya maamuzi? Au tuwasukume na bulldozer mtoke huko?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
KUTOKA KWA @aunty_lulu8 Hello sister, usihangaike na Msigwa wa serikali Leo Yanga day,Ile sauti ulikuwa unasikia ni recorded voice ya wakati manara anatambulisha na nyingine ni Ile maulidi kitenge anawaita wanainchiiiiii,tulirekodi na tukaambiwa tuitumie wkt Msigwa anampiga Samia Leo. ukiangalia wanayanga walikuwa hawanyanyui mikono na camera man alipangwa,asioneshe sehemu korofi.hide me

@samia_suluhu_hassan @yangasc @gersonmsigwa @sativa255_ @mangekimambi80 @hechejohn @mariastsehai @martinmaranjamasese @twahamwaipa
Rais Samia: Nimekaa kwenye tv tangu saa 10 jioni nikifutilia sherehe za Yanga. Niwatikie kila la kheri Yanga katika siku wenu hii.


ya
 
Haya wale mliokua mnasema mtahama team, vipii bado hamjafanya maamuzi? Au tuwasukume na bulldozer mtoke huko?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yanga na sisiemi ni damu moja hao wanaojifanya tofauti ni kondoo waliopotea njia tu.
 
Azam TV walikuwa kwenye uangalizi maalumu na iliandaliwa hadi angle ya mbali ili watu wasionekane walivyonuna.
 
Yanga na sisiemi ni damu moja hao wanaojifanya tofauti ni kondoo waliopotea njia tu.
Kwa kweli!
Team iko chini ya wana mtandao, italeta jeuru kutokea wapii?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…