tabora kamaliza saa sabaSasa muda huo si ulikuwa muda wa kufanya kampeni huko tabora na kujiandaa kuingia mkoani kigoma, muda wa kuangalia tv aliupataje saa kumi?
Mbona video imekaa kimkakati sana 😁
KUTOKA KWA @aunty_lulu8 Hello sister, usihangaike na Msigwa wa serikali Leo Yanga day,Ile sauti ulikuwa unasikia ni recorded voice ya wakati manara anatambulisha na nyingine ni Ile maulidi kitenge anawaita wanainchiiiiii,tulirekodi na tukaambiwa tuitumie wkt Msigwa anampiga Samia Leo. ukiangalia wanayanga walikuwa hawanyanyui mikono na camera man alipangwa,asioneshe sehemu korofi.hide me
@samia_suluhu_hassan @yangasc @gersonmsigwa @sativa255_ @mangekimambi80 @hechejohn @mariastsehai @martinmaranjamasese @twahamwaipa
ya
Video za vibanda umiza ndiyo zitatupa mrejesho. Azam walipangwa wasionyeshe angle yoyote ya karibu. Hata Arafat alivalishwa mic na muda wote alikuwa anawasiliana na watu wasiojulikana. Hawakuwa wanajua nini kinaweza kutokea na walijipanga.Sio kuitikia, ni kushangilia na kuzomea wale waliokataa salamu za mama.
Si mmepewa hati ya uwanja? Mtakataaje sasa salamu za mtoa hati? Hamuogopiii?
😂😂😂😂😂
Ulishaambiwa wenye akili ni wangapi mzeeYanga mataaahira yameshangilia kishenzi yani kwenye simu ya mama
Ikiendelea hivi ni bora ifungiwe na FIFA.Ukaribu wa kihistoria kati ya Yanga na ccm haukwepi ,yanga ikihitajika na ccm mda wowote haiwezi pindua.
WAnafoji kila kitu wale mashetaniwaliwaleta na mabasi🤣🤣🤣🤣🤣ccm wanatumia nguvu sana
Mi nilisema lakini jana nilishangilia kwa Morali Mama alivyoita wananchiiiiiiiiiiiiiHaya wale mliokua mnasema mtahama team, vipii bado hamjafanya maamuzi? Au tuwasukume na bulldozer mtoke huko?
😂😂😂😂😂😂😂
Wewe unapoingia humu JF huwa huna kazi za kufanya?Watu wanaokaaga kuangalia mipira kwenye tv huwa hawana kazi za kufanya au
Sio rahisiIkiendelea hivi ni bora ifungiwe na FIFA.
😂😂😂😂😂😂Mi nilisema lakini jana nilishangilia kwa Morali Mama alivyoita wananchiiiiiiiiiiiii
Sheria za FIFA zipo wazi.Sio rahisi
Watu wanaokaaga kuangalia mipira kwenye tv huwa ni wavivuWewe unapoingia humu JF huwa huna kazi za kufanya?
Unaongea hivyo wakati hukuepo hata uwanjani, uliza ambao tuliokuepoHaya wale mliokua mnasema mtahama team, vipii bado hamjafanya maamuzi? Au tuwasukume na bulldozer mtoke huko?
😂😂😂😂😂😂😂