Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,831
- 11,670
Kuna namba naona kabisa ni vita mfano apa kwa Mwenda namba 2 sijui itakuwaje pare kibwana,Yao,Nkane wakiwa full yaani sijui kwakweli maana uyu mwenda huyu balaaTuwe wakweli!
Yanga ina kikosi imara sana msimu huu, kiasi cha kumuonea huruma kocha wakati wa upangaji wa first eleven yake.
Fikiria tu kwenye hiki kikosi kilichoanza kuna akina Dickson Job, Ibrahim Bacca, Chadrack Boka, Zimbwe Jr, Mzize, Pacome, Boyell, na mastaa wengineo wengi! Eti wako nje!! Hatari sana hii.