nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 7,088
- 12,837
Matajiri hawajui kuongea asee...
GSM kila akipewa maiki anasema yanga bingwa haha
GSM kila akipewa maiki anasema yanga bingwa haha
Sio ni sisi Yanga SC 😎CCM wana tamasha lao huko Benjamin Mkapa
Ikwiti in Swahili 😀😀 equity kwa English 😀Ni Equity au Ikwiti?
Mbona CRDB hajataja kwa Kiswahili?Ikwiti in Swahili 😀😀 equity kwa English 😀
Uyo noma sana anarudi Half timeHuyu mwamba peke yake ndiyo anauwaga kwenye tamasha la yanga japo Leo wamempa dk chache ila kakimbiza
😀😀😀Ni balaaMbona CRDB hajataja kwa Kiswahili?
Alipata zero form six pale Al Haramain High SchoolNi Equity au Ikwiti?
😁😁 matatizo yake yameanzia zamani kumbeAlipata zero form six pale Al Haramain High School
Hawajali mudaHahahah. Mechi imeanza 8:48. Hii tunaiweka katika rekodi zetu!