😂😂😂😂😂Ndio mmeamua kutokea kwenye boga??
😂😂😂😂😂Asilimia 80 wamekausha maana wanapigiwa nyimbo ambazo hawawezi kuzishangilia bila kuhojiwa kama ubingwa bado wanao. Leo kweli wamepatikana. Ni masikitiko tu hapa uwanjani.
😂😂😂😂😂😂 jamaniiiii.
Sio mbaya itampa uwanja mpana wa kufanya rotation maana mashindano ni mengi.Tuwe wakweli!
Yanga ina kikosi imara sana msimu huu, kiasi cha kumuonea huruma kocha wakati wa upangaji wa first eleven yake.
Fikiria tu kwenye hiki kikosi kilichoanza kuna akina Dickson Job, Ibrahim Bacca, Chadrack Boka, Zimbwe Jr, Mzize, Pacome, Boyell, na mastaa wengineo wengi! Eti wako nje!! Hatari sana hii.
Kocha ni Hersi, huyu dogo ni kiini macho tu ndiyo maana wametambulishwa wachezaji halafu mwisho ndiyo akaambiwa na yeye haya njoo wakuone.Tuwe wakweli!
Yanga ina kikosi imara sana msimu huu, kiasi cha kumuonea huruma kocha wakati wa upangaji wa first eleven yake.
Fikiria tu kwenye hiki kikosi kilichoanza kuna akina Dickson Job, Ibrahim Bacca, Chadrack Boka, Zimbwe Jr, Mzize, Pacome, Boyell, na mastaa wengineo wengi! Eti wako nje!! Hatari sana hii.
Cha kushangaza wachezaji walioanza na wenyewe wamekaza balaa! Dogo Shehan anakinukisha pale mbele mpaka basi! Ukija kwa Farid Mussa naye anamwaga tu maji kule upande wa kushoto. Hii ni hatari.Sio mbaya itampa uwanja mpana wa kufanya rotation maana mashindano ni mengi.
Wewe jamaa huishiwi maneno.Kocha ni Hersi, huyu dogo ni kiini macho tu ndiyo maana wametambulishwa wachezaji halafu mwisho ndiyo akaambiwa na yeye haya njoo wakuone.
Alichoambiwa aonekane serious muda wote akiwa mbele ya camera.
Ouyeaaaaaah!!!Once red, always red.
Na waliambiwa tangu mwanzo, wakapuuza.Hawa jamaa rangi hii ya jezi zao itawaponza sana