Full Time: Yanga SC 1-0 Bandari FC | Siku ya Wananchi 2025 | Mkapa Stadium

Full Time: Yanga SC 1-0 Bandari FC | Siku ya Wananchi 2025 | Mkapa Stadium

Makolo yanajifariji kwa performance ya kikosi namba 3.

Wambie Pacome, Yao na Mzize wote walikua nje.

Wamemuona Ecua na Doumbia.

Kwa wachezaji hawa tuna kikosi cha kikatili sana tusubiri ni jambo la wakati tu.
Hapo walikua wanatuonesha wachezaji wetu wapya, kosi la tareh 16 sio hilo.

Aloo hiyo siku Pacome ndani, Mzize ndani, Yao ndani, wale manzanzibar finnest ndani.
Wasilete timu tu.
 
Matamasha ya Yanga, Singida, Costa, KMC nk yangefanyika pamoja kwa siku moja ili kuokoa muda. Baada ya hapo ndiyo Mnyama Simba aungurume kufunga kazi
 
Back
Top Bottom